@wayuni285:

Wayuni 12
Wayuni 12
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 06:50:33 GMT
165258
5753
743
296

Music

Download

Comments

s.m.i.t.hp.o.x
S M I T H❤❤❤❤P O X :
Wanaume tumebaki wawili mimi na unaye soma comment hii
2026-08-30 14:53:17
177
hdcomary
Hdc Omary :
Tuwe makini Wakuu! Tunacheza Pungufu
2026-08-30 08:32:05
76
user1156745951781
man cargo :
alooh leo leo kaz ipooooo😂😂😂😂
2026-08-30 19:58:16
0
fabiolajohnngerus
Fabiola John ngerusa :
eheee tushakupoteza tayarii ni msiba
2026-08-30 08:03:28
25
patoo479
SHABUTY :
content created ndio huyu👌
2026-08-30 19:38:19
0
user934339320070
Dafrossah💞💞 :
Nachoka mm jamn
2026-08-30 08:33:24
5
jumambwambo599
mbwambo jr :
mhm mhmmmm haya
2026-08-30 20:04:27
0
hadija1009
Mrs ...😘 :
mbn sjawah mwelewa huyu anafanya nini tiktok
2026-08-30 13:53:59
16
marshazinta4
marshazinta :
Km tunapoelekea ndio bora ht hii Dunia ifikie Mwisho sababu kuna watu wanatuponza
2026-08-30 11:17:36
30
devidpetro8
benja the don :
mhhhhhh
2026-08-30 17:11:33
0
emmanuelmollelo
emmanuelmollelo :
ni Ai au
2026-08-30 12:28:43
3
abdullmzee6
[email protected] :
mbona sielewi kavaa kamba za viatu au Nini zile ehhh?
2026-08-30 13:45:43
9
adamhasan945
jay rex :
tunaosema anahitaji maombi tujuane
2026-08-30 13:44:42
6
kelvinlowasa467
Kelvin Lowasa :
🤣 daah wanaume 2mepungua kama unaamin 2pia comments ap embu daah no😂😂😂😂
2026-08-30 16:07:28
5
tumainelias6
1234567 :
dah tumepoteza nguvu ya taifa
2026-08-30 11:13:47
5
z.nuru4
Z nuru :
kwa hali hii mafuliko ya mvua nikaajili yetu mungu kachokaaa
2026-08-30 17:15:42
8
monicapaul7091
Monicapaul709 :
kweli izi ninyakati za mwisho
2026-08-30 09:18:49
5
aida.mwenda
Aida Mwenda :
Anavyokakamaa yaan Mungu wewe tusamehe sisi viaumbe wako 😭😭😭
2026-08-30 15:10:14
6
user9516611412265
happy :
jamanii na shanga juu kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake mungu tusaidie 🙏🙏🙏
2026-08-30 09:52:01
8
dogo.k77
Dogo k77 :
nachokamm
2026-08-30 06:54:25
7
hassankidonge
Hassan :
kweli kazi hipo mwaka hu🤣🤣
2026-08-30 07:15:23
5
henry.boy363
henry boy :
oy masela tayali tumeshapigwa huyu jama
2026-08-30 07:47:56
8
lovie.jack
lovie jack :
ila wanaume¿!😢 basi tu
2026-08-30 14:09:10
1
azizabiut
aziza beuty :
Allah nuthuru vizazi vyetu hii sasa balaa😭😭
2026-08-30 14:58:16
1
radhiasaidi110
Radhia saidi :
wew tena
2026-08-30 09:01:20
1
To see more videos from user @wayuni285, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About