@rehemasimfukwe_: 📌0768571613 DORCAS HOMECARE Mama Goodluck anajua kusuka sana Naomba wadau wenye vitu vya saluni tuwasiliane au support yeyote karibu Call/ watsup 0768571613
Pamoja na Kumchangia ni Vyema tukawa wateja wake Og kabisa 🙏🏾🙏🏾Women Support Women
2026-08-30 18:27:46
482
ammygal :
Naomba nimpatie viti vya salon na sink lake🙏🏻
2026-08-30 11:48:51
591
anitha😛🥰 :
mungu najua nimekuomb vit vingi ila muone uyu kwanza ntasubili t baba
2026-08-30 09:20:05
225
seyyaz08 :
Dada weka no yake tuone tunafanyaje🥺🥺🥺🥺
2026-08-30 14:10:52
35
ChristinaPeter :
ukiwa na mtoto mlemavu, ni changamoto sana, sikia tu kwa watu, kama hivi, ila mimi nakuelewa sana, mimi wakwangu nilikuwa nikitaka kutoka namlisha Kisha namfunga kwenye kochi, hapo mpaka nirudi,ila kwasasa nimepata kituo mtwara anakaa huko mpaka likizo namfuata, lkn mwanzo nilikuwa siwezi kufanya chochote 🙌Mungu atukumbuke wa mama wote mwenye watoto wenye changamoto🙏
2026-08-30 09:28:52
54
Lux Fairy 🌸❤️ :
Mamaa Maria mfungua Mafungo mfungulie riziki zake Binti yako huyu
2026-08-30 09:43:53
61
Asia Anuary. :
Mzuri jamani
2026-08-30 13:37:05
86
leilatemb1 :
Nitamnunulia dryer Moja
2026-08-30 20:27:16
45
CF CATERING& EVENT PLANNER :
habari mimi ni Mkulugenzi wa cfcatering event planner ningeomba kukutana na huyo dada tafadhali
2026-08-30 12:34:53
28
Mbazi_jr 👑 :
Naumia sana kuona mwanamke anapitia magum...sipendi kuona chozi la mwanamke Mungu akasimame na wanawake wote na akaijaze furaha katika nyoyo zao...🙏🏽🙏🏽🤲🏽
2026-09-02 20:46:28
12
ney😘😘 :
Naomba mtumishi Umuongoze sala ya Toba aokoke pia 😊
2026-08-31 14:15:51
5
Izonsi :
Mbona ni mzuri sana jaman🥰
2026-08-31 21:50:40
9
Ms. Marky ❤️ :
Mungu atamfanyia njia soon tutaona ushindi wake
2026-08-30 07:30:08
19
🌸KIM♍️🧸 :
Eeh Mungu muone huyu kwanza ufate mimi 😭🙏🏽
2026-08-30 08:55:28
57
HAPPIEH OUTFITS 👗👙🥻👡 :
Mungu Kama kuna ombi sijaomba mguse huyu mama na mwanae 🙏🙏
asee tuwe tunatembea mitaani tusaidie watu km hawa nimeumia mno
2026-08-30 13:44:51
10
ummufatmah :
WEKENI NAMBA TUMCHANGIEEE .....
2026-08-30 12:12:04
27
Gee🍀🦋🔐❣️ :
mungu akufanyie wepesii katika maisha yako dada yangu
2026-08-30 07:52:58
7
𝓟𝓻𝓲𝓷𝓬𝓮𝓼𝓼🌸 :
Nikitaka kusuka next time nitaenda kwa huyu dada ungeweka na namba yake ya biashara anayetaka kusuka amcheki mimi nitakua wa kwanza nikifumua lazima nikasuke kwake🥹❤️
2026-08-30 12:57:40
6
LOY :
tumshukuru mung kwa kila jambo nyie
2026-08-30 09:07:45
6
Annababy_World :
Hapa ndio naamini kwamba MWISHO WA AKILI ZETU MUNGU NDO ANAANZA KUTENDA KAZI YAKE.Mungu azidi kukuinua dada Rehema uendlee kuwa baraka na Mungu azidi kukutumia kweny kugusa watu wake♥️
2026-09-03 09:08:17
5
Diana :
Natamani ningekuwa na hela nyingi niweze kusaidia kwa sehemu kubwa watu wenye uhitaji..hiki kidogo ninachotoa naona bado hakikidhi mahitaji yao naumia sana 🥺
2026-08-30 08:58:16
5
To see more videos from user @rehemasimfukwe_, please go to the Tikwm
homepage.