@kanyamakebeboy: Be honest… what would you change

Kebeboy Kanyama
Kebeboy Kanyama
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 07:21:13 GMT
124081
10351
284
901

Music

Download

Comments

richengineer8
Rich Engineer Auto Spare🤝🛠️ :
Sio Kesi akiona MKE wake ihi video atarudi kwao tuu 😂😂😂😂🙌🙌🙌
2026-08-30 11:53:09
110
baby.girl22364
baby girl 🥰 :
mke wake asione hiiiii
2026-08-30 15:24:36
0
petro.julius
Petro Julius :
maisha ninyota na pia yanataka nizam sana kubwa kujikontroo kimaisha hata uwai ucheleww kunamtwo anazani kuoa ni hela hapana neno ndoa sihela maana he
2026-08-30 13:24:55
0
hastingsevarist
Hastings Tz :
kwenye ndoa kuna nini huko mbona hatuelewi🙆🙆🙆🙆
2026-08-30 12:23:00
43
mwenyekiti17
ELLY MUSIC :
🤣🤣🤣dah tunashukuru kwa kutusanua familia walai sioi
2026-08-30 09:30:37
17
user1106336126061
CHARLZ BABA :
point kaka
2026-08-30 09:11:46
0
shedafamaster
SaidShedafa :
excellent man
2026-08-30 13:14:10
0
nyandindi
nyandindi 0 :
wandan wa ndan wa nje wa nje 😄😄😄
2026-08-30 09:16:06
53
iam_adamfredy
iam_adaminado :
Mbona kama anaongea kwa hisia sana😢
2026-08-30 08:39:31
37
machoov
macho macho🫂🫂💣💣 :
kweriiiiii
2026-08-30 12:55:29
0
mbeyacakeandbites6
Cassandra 🦋🦋🦋 :
Nimekuwa wa kwanza kulike nipeeee zawadi
2026-08-30 07:23:15
69
fazzadigital._
Fazzadigital._ :
Daah bro kaongea kwa uchungu sana
2026-08-30 08:55:07
13
franci.ft.everina..love1
MASHANGA KOMEDI :
@oya kaongea ukweri uyu jama mimi natamani niachane na mke wangu daa
2026-08-30 09:05:27
95
chaulastudio
Chaula studio :
Ukiona mwanaume mwenzio Anakukataza kitu Tena kwa Msistizo kama hivo We mesikilize Tu
2026-08-30 10:26:47
8
user9017601870028
Yusuph :
nilikua nampango wakuowa lakini dah ngoja kidogo😃
2026-08-30 12:50:57
11
user361373356056
jesca🥰 :
mm kam mke cjapend utanikut nyumbn
2026-08-30 12:19:38
5
ww.gadii
"Mr.Right"🔥🔥 :
wakuu tusikurupuke kuoa ikiwezekana tusubirie muda au hatima ya sisi kupata mola alie tupangia
2026-08-30 09:51:16
9
5cutecake5
cutecake :
sa si uachane nae unashindwa nn muambie tu ukwel
2026-08-30 12:38:25
8
mu_drich92
Mo :
🤣🤣🤣atyme namba ya malipo nimpe ata ela ya soda🫂
2026-08-30 08:57:34
5
coolkidbway
COOLKID BWAY :
Naitwa Magembe nimuuzaji wa maha hardware 😀😀😀
2026-08-30 14:50:30
1
roses7597
roses :
Afu kamaanisha Kwelii
2026-08-30 13:02:09
0
user9787384092249
kimbesa isaac :
sitaki kusikiya ule msemo wa ukiowa baraka zinaongezeka. sitaki kwamini.ule msemo masela tusake hela kwanza
2026-08-30 14:29:22
3
mbassa92
Erickmbassa :
Mimi niko bize kusikiliza Vitumbua ni 200 vitatu 500
2026-08-30 13:48:05
4
To see more videos from user @kanyamakebeboy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About