@sheikhmbarakahmed: Je maulidi yalianza karne ya saba? #sheikhmbarakahmedawes #maulidnabi #rabiulawal #maulid #rasulullah

sheikhmbarakahmedawes
sheikhmbarakahmedawes
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 30 August 2026 07:27:33 GMT
4241
379
18
31

Music

Download

Comments

binawadhalnabahany
binawadhalnabahany :
yes yes
2026-08-30 09:13:59
0
ridwan.real.estate
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
1.Je, Maulidi ni ibada? 2. Nani alikuwa wa kwanza kuanzisha Maulidi? 3. Maulidi yalianzishwa lini? 4. Hukumu ya Maulidi katika Sharia ni ipi? tupe nguzo, masharti na Sunna za Maulidi ya Mtume ﷺ,
2026-08-30 09:35:34
2
athman.ali76
المكتبة العثمانية :
Nilisubiri utweleze yalidhihiri karne ya ngapi ili tupate faida.
2026-08-30 09:15:13
1
diga.lise
Diga Lise :
swali letu yana asili nani karne yangapii ndio yali anza tuilimishe wengi hatujui
2026-08-30 09:54:27
1
van_del8
Van del :
we are heading there umesema kiongozi wa zama hizo aliifanya kama holiday lakini maulidi ilifanywa kabla yeye. twataka tupate faida kwa kutuambia mwanzilishi na kina nani walikua wakifanya maulidi kabla kiongozi huyu.
2026-08-30 08:54:31
2
hy.l.hms
Çhûî 00¹ :
tueleze mtu wa kwanza kufanya maulidi ni nani...? ilikua Karne Gani....? na kwa utaratibu wa mafundisho yapi...?
2026-08-30 09:21:37
1
anibatkeburuabiif
Dr.kera Agric _ official :
naaam
2026-08-30 09:47:20
0
damusimai38
user4358689065476 :
hukran sheikh @sheikhmbarakahmedawes jazaka ALLAH kheyr .
2026-08-30 09:22:03
0
bash000001
bash001..,.... androids....... :
Hamanishi mudhafar kukua n Sifa nziri ako ruhusa YA kufanya maulid inafaa
2026-08-30 09:15:19
0
qis59916
qis :
Maulidi ilianzishwa na serikali ya Egypt Mtume SAW wala Hakuna swahaba alianzisha hiyo kitu
2026-08-30 10:18:40
0
zidu.fashion.zanzi
Zidu fashion Zanzibar :
kwa iyo kusherekea bathday hamna tatiz
2026-08-30 09:08:49
0
zubeir.shomar
Zubeir Shomar :
Yan tatizo sio kusomeshwa hapana nyinyi mashekh zetu mpo tatizo lao hawataki tuu kusoma wala kusikia kwaio kazi ipo kwer kwer
2026-08-30 07:33:25
0
wasimulqalb
Silent Humor :
leo nimepita mahali wanawake wanasoma maulidi wallah nikawaskiza. walkua wanaimba hivi"tupeke madina na makka kwa Mtume, tupeeeke maddiiina" wallahu sjatunga😁😁
2026-08-30 10:15:05
0
shabani.joseph1
Shabani 🙄🤔 :
mche ALLAH UTAKUJA KUULIZWA NA ALLAH KWAHAYA UYASEMAYO
2026-08-30 09:32:41
1
alhannahajjandumrahgroup
AL-HANNA HAJJ AND UMRAH GROUP :
TUPE.DALILI WACHA MANENO BILA DALILI QURAN AND HADITH
2026-08-30 09:35:25
0
ahmed.muhammad498
Ahmed Muhammad :
shukran sheikh @sheikhmbarakahmedawes jazaka ALLAH kheyr .
2026-08-30 08:32:17
2
ibn_abuu_idd
Idd Bin Sheikh Mohamed Idd❤️🤍 :
ALLAH AKUPE UMRI TWAWEEL NA ATUNUFAISHE SISI VITOTO NA ELIMU YAKO SHEIKH LETU @sheikhmbarakahmedawes 🤲🙏
2026-08-30 10:31:08
0
To see more videos from user @sheikhmbarakahmed, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About