@singeli.revolutio: #singelitotheworld #singeli #tanzaniantiktok🇹🇿 #bongotrending #storytelling

singeli revolution
singeli revolution
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 07:43:02 GMT
115321
10098
124
306

Music

Download

Comments

asmah2386
asmah🥀😂 :
Haya nyie bakin na malume wenu mm wakwangu huyu
2026-08-31 06:25:07
51
user2063935974626
gift :
mwanangu wewe tia number yko apa nikutafte tufanye challenge
2026-08-31 16:38:49
14
halima.abdul158
my sumaiy :
unajuw natak niilip hiy nyimb nitumiy no yak nambar
2026-09-13 20:42:11
2
mbaya96store
mbaya96store🇹🇿 :
THIS IS YOUR TIME. YOUNG MAN, PLEASE DO SOMETHING COZ YOU ARE WRITING A REAL AND EMOTIONAL STORY.
2026-09-02 22:35:46
3
purityheart912
Brielle Zhang :
Sasa why nyimb nzur zote anazoimba studio hazitoi
2026-08-30 23:41:53
12
mrs.chammy1
MRS Chammyjr :
xhemj
2026-09-11 14:54:43
1
fadher_deking
𝔽𝕒𝕕𝕙𝕖𝕣💥👑 :
another one 🙌🤘
2026-08-30 11:27:35
3
norbertmoses766
chazo OG :
Unajua xan mwnng
2026-08-30 15:00:37
7
user5873114517440
marrygirl26 :
bubyyyyy♥️
2026-09-04 10:24:20
1
chimamygirls
Nunu love :
msanii nd huyu aekew ulinzi🤪🥰🥰🥰😋😛
2026-08-30 18:30:57
6
mbuzzy29
~Mbuzzy WaNa MaN ~ :
nmejiona 😂
2026-08-30 10:50:26
4
mwansudasaidy
Mwansuda Saidy :
Allah amfanyie wepesi inshallah kwa kila hitaji aliombalo inshallah litimie kila hatua dua ukaliii🙌
2026-09-04 20:46:37
2
mr.nyau1
RASHAS :
oa kwaheshima dogo anajua nmemfatilia sana uyu kweny game yupo sana
2026-08-31 09:15:45
3
pacha.uyoo
PACHA :
nomaaa
2026-08-30 09:56:48
1
dj_chotar_unabalaa
Dj Chotar Unabalaa.og🇹🇿🎶 :
LET'S GO 🔥🙌
2026-08-30 14:48:45
1
eunice.richard14
Eunice Richard :
[Sticker] Nakuba
2026-09-08 13:13:12
1
user6834939419607
𝒓𝒂𝒌𝒔𝒉 :
sitineno hapo
2026-09-02 16:01:06
1
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-09-02 08:21:52
1
malebo.abdallah
MALEBO🐰 :
kaniimbia mîmî
2026-08-30 16:50:24
2
bariki8887
💥𝘮𝘨𝘰𝘨𝘰✨𝘣𝘳𝘢𝘯𝘥💫 :
oya hii show inaitwaje
2026-09-02 04:56:40
3
mbisherskyler
mbisher-skyler :
singeli to bongo fleva🔥🔥🔥
2026-08-31 17:58:26
1
zilominanda
zilo minanda :
mungu anazid kubariki mziki wetu
2026-08-31 08:51:00
1
wanangu9
MTONGA KIDS 🗨 :
hii show naipat wap kaka
2026-08-31 09:50:39
2
hassanvi49
lomself 🍁 :
kabisa kaka
2026-09-01 14:29:26
1
To see more videos from user @singeli.revolutio, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About