@abdulhafidh575: 😇

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 07:52:31 GMT
339189
18460
482
3273

Music

Download

Comments

ayraali94
aziza :
huyo ni mama angu jambo lolote nikimhadithia nakuta keshalitangaza
2026-09-04 13:44:03
112
mwanahamiskahelel
Mwanahamis Kahelele :
mtoto akipatwa na hasadi tumfanyaje
2026-09-02 07:53:51
15
user7925854918861
Da Isha :
Ni kweli mama angu ndy aliyeniponza sifa na nilikuwa naona watu ucku akasema kwa watu dah 🥹
2026-08-30 13:27:19
47
iamkarbi_
𝔎𝔞𝔯𝔟𝔦_ :
Natamani nimtumie mama yangu hii😔
2026-08-30 21:09:57
22
ummyzulfikar
ummyzulfikar :
assalam aleykm naomba unifafanulie hii ndoto nimeota nipo kweny gar mimi mume na mtot wang lakn kukawa na mwanamke ambae anatufata kil tunapoenda lakn kwenye njozi nikasikia saut mt ananiambia nisome surat wa dhuha je inamaana gan nakuomb maan inanipa mawaz meng
2026-08-30 10:29:02
16
naah.cute8560
sameerah💦❤️Allyh🍓🍒 :
mimi kila ninapoenda mwanangu anasifiwa saanaa kila anaemuona anasema mzuuriii mzuriiii mtot mzuri sanaa kila nikienda naecnje jmn mpka naogopa mpka nachukia sjui nifanyej nabado anamiez10 alafu wakiume duuuh😳😳
2026-09-24 18:01:15
8
user910135405mamasakif
Queen mother 💎 :
Wangu tunamuita mama mwenye nyumba kwa Utuuzima na upeo mkubwa mashaallah ila kuanzia leo sitamhadith inshaallah
2026-09-24 14:41:48
12
bahatiomarisandal
Bahati Omari Sandali :
asante kwa hili somo mana hata mimi tabia hizo ninazo
2026-09-03 11:54:05
14
73tiktok.c
lizywilly :
yaan umeongea kweli mm mama angu alikuwa akimsifia mdog wangu kuliko mm na kusema yey ni bora kuliko mim adi leo mdg wangu haniheshimu kabisa naumia mno jmn daah ila watu wengine anawasalimia vzr tu na kuwaheshim ila shida ni mim ananiona kama hamnazo 😭😭
2026-09-22 10:53:08
7
betty.mtaita
Betty Mtaita :
somo kubwa hiliii🙏🙏
2026-09-30 16:38:49
5
ashahamisi761
ashahamisi761 :
namba napataje shee
2026-08-30 08:42:10
8
user680504227483
Da cute :
taqibir
2026-09-20 22:22:46
0
ramzsamira
samira :
kweli
2026-08-30 08:31:34
5
hilwa_hayaty95
Hilwa_Hayaty :
walimu pia punguzeni kusifia watoto wetu mbele za wazazi wengine au wanafunzi wenzao munaponza watoto wetu, bakini na siri na mzazi wa yuko mtoto mnaona yuko bright you don't need to use him/her as an example
2026-09-14 20:08:21
6
saphiayahya5
Katoro sweetheart :
Alhamdulillah mim nina mtoto wa miez 9 tu ila Kuna baadhi ya hiz sifa anazo yaarabi mjaalie kheri na umkuze Katika njia yako
2026-09-02 06:50:28
6
chisahamis
chisahamis :
Hakika umeripa somo zuri, jazakallahu kheri
2026-08-31 18:13:48
5
nasrasaid08
naa :
Maneno yako kuntu hasa MashaAllah
2026-08-30 10:20:51
5
zuhura.suleiman1
Zuhura Suleiman :
mungu mlinde mwanangu aaamiin🙏🙏🙏🙏
2026-09-30 11:14:13
5
hopealukush
hope 💓 alukush :
thanks
2026-09-01 21:17:05
2
maryamjuma37
maryamjuma852 :
mm sina sifa lkn mtt wangu mmoja kabadilika hafla sasa iv ananiumiza kichwa kwa tabia alizonazo sikutegemea naumia mungu ndo anajua nn kimemsibu sikijui
2026-09-14 21:20:40
2
munaah1862
munaah :
shukran ustadh kwa kutufahamisha.
2026-09-12 17:38:33
3
chidzo2
Purity ❤️ :
Shukrani
2026-10-01 13:04:15
1
nurathkatembo
nurath katembo :
Tabia ih ni ya mume wangu yani nataman asikiee ih
2026-10-07 07:27:14
1
fine_watchtz
fine_watchtz02 :
Asante
2026-09-30 12:44:38
1
mommasheart4
Hottest girl :
shajua kilichonipoza🥺
2026-09-01 23:52:39
1
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About