@kizito_tz: #trendingvideosnowontiktok Mganga wa tiba asili Ashusha mvua, Mkutano wa injili ukashindwa kuendelea Makete Njombe anadai wanadharau 😂 #ticktok #fypシ #fyp #trending
Kizito
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 08:01:53 GMT
Music
Download
Comments
Kadabra Joel :
[Tears of joy][Tears of joy] mganga katoa yake [Tears of joy][Tears of joy]
2026-08-31 12:29:47
0
Fanchizo Tz :
Mganga damu ya Yesu ikufunike🙏 kwa jina la Yesu.
2026-08-31 07:53:24
31
SANNET_TECHNOLOGY :
Daah huyu simganga wangu huyuuu
2026-08-30 23:28:11
12
WASHADATA STUDIO :
Da pipy nishushe
2026-08-31 08:05:49
1
kinguluila8888 :
na waganga ndio wanao amini Mungu halisi,sio Mungu wa wakoloni au wa kwenye vitabu 😏
2026-08-31 04:24:03
35
KANEGA :
mganga yupo sahihi kabisa hata viongozi wetu wengeapishwa kwq miti shamba hakuna kiongozi angekua mwizi mila haidanganyi na haionei
2026-08-30 21:27:09
25
The son of Apostle :
Mwanga mmoja huyuuuu
2026-08-30 20:21:08
4
japhetkabelege :
yupo sahihi kwa kweli 😄
2026-08-31 05:36:15
11
Ramze@ :
hapa ni GG
2026-08-30 21:22:07
2
isayakadunda :
mzee kiboko
2026-08-30 19:28:17
4
WENDE jar :
. mganga wangu uyuuu
2026-08-31 04:55:45
3
Isaya mlutheri🕊️ :
sasa kupeleka mvua ni tiba asili pia au ni nini ?
2026-08-30 19:32:25
3
Milka Lomwiko :
Mungu awarehemu jamani maana wote hamjui mnacho kiongea na kukisapoti, YESU KRISTO PEKEYAKE NDIO MUWEZA WA YOTE
2026-08-31 09:12:55
7
Osward Mbijes :
Mganga yupo sahihi 😂💯😂😁
2026-08-30 22:28:00
5
mstaafu :
mganga nae ni mtoto wa Mungu!!!
2026-09-01 05:31:31
1
Lilian Moshi :
namba pls
2026-08-31 10:35:21
0
Germanus :
Mzeee hao wanafata shelia za vitabu Me na ww tunafata shelia za mababu zetu 💪🏾💪🏾💪🏾
2026-08-31 08:16:15
3
✯THE ONE👻 :
sahihi 🤝
2026-08-31 06:01:14
2
tz showed vdo :
Amina😁😁😁
2026-08-31 08:00:51
1
JooBen :
100% kweli bro, ila wapo wengi wenu mnakula rushwa kwa watesi mnatuacha tunateseka ndio maana tunawakemea kwa jina la Yesu🙏.
2026-08-31 07:25:48
4
nee_store_tz :
😂😂😂😂😂😂😂 Nn tena jmn
2026-08-31 04:15:44
1
willumpilla :
lidengule one the 🔥
2026-08-30 10:21:02
2
Plumber💦 :
Tufile uwanjani tushindane😄😄
2026-08-31 06:34:58
1
user37011885910717 :
nipeni namba za huyo mzee😎
2026-08-31 05:27:20
1
black horse :
nimemuona mganga wangu hapo😄
2026-08-31 06:41:36
1
To see more videos from user @kizito_tz, please go to the Tikwm
homepage.