bila shaka wamekuelewa hao vichogooo💯..Penda sana you
2026-08-30 08:23:01
17
Bablon jesus cr :
namtafuta mdada hapa 😂😂
2026-08-30 10:22:50
7
Mr Transaction :
I love you 🥰🥰
2026-08-30 09:24:38
2
C.E.O big :
ongeza sauti waskie😁
2026-08-30 08:14:08
7
QooL_Qid🇿🇦 :
MteteZi wetu😂😂❤️
2026-08-30 08:28:44
2
Luyc😘 :
Nilijaribu hii tulipofika pale akalipia yy🤣🤣🤣
2026-08-30 11:15:34
1
vumunho.jr :
Umeiva🙏
2026-08-30 08:39:04
2
BeckaTitle :
😂ila we dada wee
2026-08-30 09:03:01
1
gamba :
hyo wangu mungu anipiganie tu😭
2026-08-30 08:21:25
1
Ramadhani Majura :
Mke wangu anasemaga hata kama anafanya kazi yeye hela hanaga😂😂😂
2026-08-30 15:15:54
0
DeLuxy Smartphones Arusha📲 :
Kichogo nisaidie kuwasema hawa wa unamuita mtu kwako aje kukusalmia akifika anamsubirisha boda anakupigia ad utoke umlipe boda kichogo elf3 kwel ni ela ya mtu kukosa?? hii atupendag tumekosa tuu wa kutusemea😩💔
2026-08-30 10:56:16
0
cchangi :
umesemaje! kichogo mimi au
2026-08-30 13:00:22
0
Mwalimu Mkuu01 :
Out Wanajua Kutoka njee tu😂😂
2026-08-30 12:59:18
0
Kim😎 :
Mimi mkanda wa f30 moyo unauma mbaka natetemeka ndo mana akininyima namuelewa😂
2026-08-30 13:18:00
0
Linah_eddie🦋🧚♂️ :
Mimi nilimtoa tu bill ikaja 60k alinishukuru mpaka mababu zangu walio kufa alinishukuru mpaka😂
2026-08-30 15:05:45
0
EjonaPro Apple :
Chagua tujenge sanamu lako wapi 😁
2026-08-30 13:09:01
0
king William :
wanajuaga simple
2026-08-30 13:13:30
1
To see more videos from user @bahatimkulu, please go to the Tikwm
homepage.