@al.akhi.naasir7: Swala ya Msafiri 2

Al Akhi Naasir
Al Akhi Naasir
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 30 August 2026 08:08:54 GMT
7380
1310
34
126

Music

Download

Comments

djibmat_04
DJIBRIL MATULU 🪑🪑🪑💞 :
NIPACHIYE WHATSAPP YAKO CHEIKH. NIKO ANGOLA
2026-08-30 08:26:06
1
user24616947045127
user24616947045127 :
Amin 🤲 Amin 🤲 Amin
2026-08-30 09:09:04
1
folddollnicky
Taita finnest :
mashallah shukran for this
2026-08-30 11:55:34
0
raudhatadam748
Raudhat Adam :
Yah Allah mlipe kheri kubwa huyu shekh kwan kwa hakika anutupa mafunzo makubw
2026-08-30 09:14:27
3
user68321274745182
Degea wa Tana⚽ :
sheikh na Niyat inasomwaje
2026-08-30 08:44:23
1
idrissa.muhidini
Idrissa Muhidini Ali :
shukran kwailmu
2026-08-30 09:46:36
1
trk_vro
احمد فاروق_ ١٢ :
Assalam alaykum shekh naomba kuuliza vp kuusu sunna za kabliya na baadia au sunna nyengine kama dhuha
2026-08-30 09:07:13
1
my69653
🍇my🛀 :
2026-08-30 08:53:58
0
fatushhadia
Fatuma :
Je ukiswali katika Gari au Ndege waeza kupuunganisha
2026-08-30 09:22:00
1
hud_hud88
One dream Autospare parts :
kwenye siku unazohesabika ni za msafiri kuna fatwa nyingi kwanini umechagua hiyo ya siku 4 tu?
2026-08-30 15:07:07
0
user5382297226724
missu :
shukran sheikh
2026-08-30 13:45:09
0
salahndayishimiy2
salah happy :
asante saana kaka
2026-08-30 16:41:02
0
damam141
damam141 :
Shukran. Jazaakallahu khayran
2026-08-30 15:34:45
0
salmamor_123
salmamor :
shukran shekh ila m.naona njia ya kusali ukiwa kwenye usafiri au safarini itakua nzuri zaid
2026-08-30 08:29:07
1
user1826706285745nahya
nahyer nahyer🇹🇿🇴🇲 :
shukran nimejifunza leo darasa kubwa sana maana nilikuwa nina maswali mengi kuhusu swala ya msafiri Mungu akulipe kheri
2026-08-30 15:34:57
0
mesalimu234
African 1212umetuma :
🥰amiin
2026-08-30 14:02:04
0
fadhela96
@fatuma namulike banaly :
shukulani sana mungu akulindi
2026-08-30 17:56:35
0
ummi.s0
ummy s :
shukrna sana🤲🤲🤲
2026-08-30 14:23:17
0
emmy.salim
Emmy Salim :
aslam alaykm warahmatullah wabarakatuh kaka huwa nakuza nywele na maji ya mchele au maji ya karafu je nakuwa sioshi kichwa nashika udhu kawaida je ina kaa sawa
2026-08-30 15:38:02
0
user3430126250616
missa kim :
kaka naomba nisomee surat kulusini siijui nataka nijifuze
2026-08-30 09:54:42
0
ramisa0655
Ramisa0655 :
Shukran
2026-08-30 19:40:14
0
user7245847756624
riziki_12* :
Amiin Amiin 🤲🤲
2026-08-30 13:25:26
0
zachariankirana
zamnaki :
mashaallah umejibu swali nilokua nikijiuliza mala kwa mala
2026-08-30 12:52:41
0
mkasihaji0
mkasihaji5 :
assalam alaikum kwa mabaharia je walokuepo nje ya nchi swala hio ikoje
2026-08-30 12:27:24
0
maryamahs_bakery
maryamahs_bakery :
Shukran kwa darsa Ustadh. Ninaomba kufahamu kwenye nukta ya niyyah na kupunguza rakaa’, mfano muda wa dhuhri umeingia na unataka kuunganisha dhuhri na asry, je ukisimama kabla ya takbiratul-ihraam unanuia kuswali dhuhri na asry na ukaunga swala kwa kuswali rakaa nne (dhuhri na asry) au inabidi kila swala itenganishwe na salaam na kisha kusimama na kuswali swala ya kipindi kingine? Allah akulipe kwa i’lmu unayotupatia.
2026-08-30 09:00:44
1
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About