@stonepubzanzibar: 🔥 ZANZIBAR, KINANUKANUKA KESHO! 🔥 Kesho Jumatatu ya tarehe 31/8/2026, tunahamishia burudani yote ya Pwani pale New Stone Pub, Amani Mkoa wa Zanzibar. Mwana Mama Mahiri Bi Fatma Issa akishirikiana na Kashda za Pwani Band watakuwa na sisi live kuanza wiki kwa mtindo wa tofauti sana! 🎶🥁 ⏰ Muda: Saa 2:00 Usiku 🚪 Kiingilio: BURE KABISA (Free Entry!) Usipange kukosa, njoo upate miondoko halisi ya Pwani na vibes la kutosha! 🥂✨
Wzanzibar wenzangu ingefika pahali tukazidisha Upendo dhidi yetu ages kama hii wakapata watu wakuwashauri Wazee hawa wakamrudia Allah tenaa. tusimoende kwa yadunia tu
2026-08-30 22:51:06
0
HowCome_ZnZ :
👏👏👏
2026-08-30 11:09:32
1
moyo :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-08-30 19:20:59
0
Nata Aly :
😂😂😂
2026-08-30 18:24:23
0
Sophy❤Actress💔💔 :
🥰🥰🥰
2026-08-31 06:55:52
0
my. Bebiii 💋 :
🥰🥰🥰
2026-08-31 09:47:59
0
To see more videos from user @stonepubzanzibar, please go to the Tikwm
homepage.