hii haitengenezi bench inatengeneza vigoda na stuli ,umesha elewa sasa?
2026-08-30 19:13:25
19
user23615149481 :
hiyoo sio ya mambo MENGI kama hzi ndogo hazitak ujuaj
2026-08-30 11:43:14
12
FreeSpirit😇 :
Mashine hii inaitwa Terex Hydraulic Mining Shovel (kwa mfano wa mfululizo kama vile Terex RH170 au RH400). Ni aina ya tingatinga kubwa sana la kuchimbia ambalo kitaalamu hujulikana kama front shovel excavator.Sifa zake Maalum (Special features):Kazi Maalum Migodini: Imeundwa mahususi kwa ajili ya kufanya kazi nzito za uondoaji wa udongo wa juu (overburden) na uchimbaji wa madini katika migodi mikubwa ya wazi (open-pit mines).Teknolojia ya TriPower: Ina mfumo wa kipekee wa kijiometri unaojulikana kama TriPower kinematics. Mfumo huu huongeza nguvu ya kuchimba (breakout force) na kusaidia kijiko kubaki katika usawa wa kiotomatiki wakati kinainua vifusi bila kumwaga nyenzo.Ukubwa na Nguvu ya Ajabu: Mashine hizi zina uzito wa mamia ya tani (hadi tani 980 kwa modeli ya RH400) na zinatumia injini pacha zenye nguvu kubwa sana ya farasi (zaidi ya 4,000 HP) ili kuwezesha mifumo yake mikubwa ya haidroliki.Kijiko Kikubwa (Bucket Capacity): Kijiko chake kina uwezo wa kubeba makumi ya tani za miamba na udongo kwa soko moja tu, ikijaza malori makubwa ya migodini (ultra-class haul trucks) kwa kupita mara chache sana.
2026-08-31 18:29:19
10
David Telly :
shovel hiyo ipo kwaajili ya loading material tu haikai juu ya bech au kuchnga mitaro hizo mbwebwe haina hiyo ni kuchuta na kupakia
2026-08-30 11:17:21
8
CR cobra :
hii ipo dangote hutengenezi bench iyo mzee
2026-08-30 16:39:54
3
TONY CAR SOUND & Car accessori :
Chuma langu la kazi miaka ya nyuma nilikuwa nikiushika hii chuma naamsha kiinoumaa wazee wa geita mpoo?
2026-08-31 06:23:40
3
Wildfish :
hiyo inabugia diesel litres 200 kwa saa
2026-08-31 14:54:27
3
Op EVANCE 🧢 :
special kuchimba na kupakia bas
na ikikaa sehem wiki ni nomaaa 🔥🔥
2026-08-30 10:48:16
2
Tx__ghost🤪 :
Ndiyo, machine hii inaweza kutengeneza/kukata bench, lakini kuna ufafanuzi muhimu.
Hii ni excavator kubwa ya madini (mining hydraulic excavator), na video inaonekana ikiwa na bucket kubwa ya kuchimba. Inaweza:
1. Kuchimba material kwenye ukuta wa mgodi.
2.Kutengeneza bench kwa kuchimba kwa hatua/level.
3. Kuunda na kusafisha sehemu ya bench kulingana na design ya mgodi.
4.Kupakia material kwenye haul truck.
Hata hivyo, kukata bench kwa vipimo sahihi kabisa (urefu, upana na angle ya slope) hutegemea design ya mining na operator; mara nyingi excavator hutumika pamoja na drilling/blasting na dozer.
Kwa hiyo, ndiyohii inaweza kutumika kukata bench, hasa kwenye open-pit mine.
2026-08-30 20:19:36
2
mikamkondya :
mashine zamadini hizo nawe
2026-08-30 10:42:59
2
Philibert massawe :
hii haitengenezi bench huwa inaanza kufanya kazi kwa mfumo wa mzigo ulioko mbele sio kuwa chini yake kama ilivyo kwa excavator za kawaida pia huwa mzigo unalipuliwa
2026-08-30 18:19:13
2
hp1305Abu_Ilia :
hyo kazi yake ndio kama unavyoona
2026-08-31 05:25:20
2
Wageta## :
hii ni special for cdkfu I'm sodjbfcgkskvrvxnbkaiibfdllfvxlvtkorvdudj👏jfievduejrgxuirhcte tuko pamoja?
2026-08-30 19:06:09
2
chumvindimu M78 :
terex 1 semitrailer 5 wewe uogopi mtambo wa mining
2026-08-31 12:53:32
1
jjovan1404 :
hiyo ni special kwa loading tu hiyo haitengenezi bench wala haina Maneuverability kubwa
2026-08-30 18:27:44
1
Believe Tz :
iyo haitengenezi kichanja apo niivyo hivyo
2026-08-30 19:41:44
1
Omar Muhombo :
hii haina michezo
2026-08-30 09:41:51
1
Levi's :
Hiyo ni diger tuuu
2026-08-30 12:23:33
1
johnson :
jaribu ujambie mbali
2026-08-30 11:21:07
1
mickmussa8 :
Shovel haikai juu ya bench,inayokaa juu ni back hoe
2026-08-30 11:14:02
1
kassim mohamed :
shovel type of excavator
2026-08-30 11:09:15
1
user52357282816758 :
shove Excavator hiyo
2026-08-31 08:28:48
0
Key=by Marine 🇲🇿 :
👏👏👏
2026-08-31 10:50:56
0
Mathias Lyuma :
hiyo mara nyingi inafanya kaz ikiwa chini haipandi juu ya bench
2026-08-31 11:00:04
0
Latozzy mnyama :
hii mgodini
2026-08-31 09:28:55
0
To see more videos from user @under20.operator, please go to the Tikwm
homepage.