jamani[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Facepalm]wanaume hawa baadhi yao maskin Allah akurehamu akupe janatulfirdaus[Pray][Pray]
2026-08-31 14:59:08
1
Let's do this 💪 :
Kama utapitia Comment utaona Wanawake wengi wanavosumbuka kwenye maisha ya ndoa Allah asawazishe kila penye uzito na atie Nuru kweny Ndoa zenu na Rizki Za kheri 🤲🏻
2026-08-30 14:20:34
116
simba :
poleni
2026-08-31 18:57:50
1
thumma :
jamanii🥺🥺🥺I understand sometimes it's hard horrific n terrible,but I feel forgiving is the hardest part of this life but forgiving its the best decision once can have ukisamehea moyo unakuwa mwepesi your spirits zinakuwa very light life suddenly feels light
2026-08-31 06:56:02
1
Jamila ka :
pole dada
2026-08-31 10:57:46
1
NASREEN ABAYA💦💰 :
tujifunze kusamehe jmn nafsi zetu zipate kwenda kupmzika kwa amani huko akhera😢
2026-08-30 15:43:58
34
_habibty 🦋🫧 :
inaonekan wanawak wengi san wanapitia manzito kwenye ndoa zao 😭😭😭 ya Allah wafanyie wepesi katika maisha yao ya ndoa watolee uzito wakila aina waja wako wape furaha aman busara hekima pamoja na subra pia man wanateseka mama zetu pamoja na dada zetu 🥺🥺😭😭😭
2026-08-30 14:50:16
147
user53684038170241 :
SubhanAllah
2026-08-30 12:40:48
1
sity 🥰♥️♥️ :
sisi wengine wenye roho ndogo tutaolewa kwl maana sijaona comment ya kufurahisha hata mmoja subhanallah 😭🥹 Wenye hatujaolewa.Allah atujalie waume waliokuwa wema na mwenye hofu ya Allah 🥹🥹🥹🤲🤲🤲🤲
2026-08-30 14:34:37
15
kidawa pochi 👜 :
alahadulilah kwaajil ya uyu mumewangu changamoto zipo ila ikitokea nimekufa mda wowote aachiwe anifanyie atakacho matamanio yangu anibebe adi kabulin ajue nimelalaj imshaallah allah atujalie mwish mwema
2026-08-30 16:47:02
33
mamy :
mm wallah sina la kusema wala la kufanya namuachia Allah tu ☺️lakin ninayo pitia mm sizani kama kunamtu anapitia nipe subra yaa allah
2026-08-31 07:16:33
15
saada muhammad :
😭😭sitawasamehe yy na wazazi wake wamenidhalilisha mimi na wanangu bx hata wakija bx sitakua radhi alhamdulillah 😭😭😭
2026-08-30 13:44:48
15
mimah🥰🥰 :
wanawake tunateska n izi ndoa wallai ....Pole dada
2026-08-30 10:58:15
18
@Nisher 001 🦋😘 :
wanawake twapitia kwakweli imeniuma jmn 😳🥲
2026-08-30 13:25:15
12
Fat-hiya Omar :
mm sio mume wangu ikotokea nimekufa basi,asiingie kwenye josho langu kama hakunistiri aibu zangu nikiwa hai hawezi kustiri nikiwa nimekufa
2026-08-31 08:35:27
7
SUPUUu😋PWEZAaa @weehSaana(MLD :
SubhanaAllah,,,!!!wanaume tuishi vizury na madada zetu,ndoa ni kitu cha HuRUMA na mwenzio ndio Barka Kupatikana
2026-08-30 13:09:44
5
🐴 :
poleni dada zanguni mungu awape subira wanawake pia wanatudhulumu hakuna aliye kamili
2026-08-31 16:54:55
1
sabrah :
allah akibar enyi wanaume punguzen mahangaiko kwa wanawake zenu 🥺🥺🥺
2026-08-31 10:17:49
2
✨️🎀KAZURI🎀✨️ :
Hata mimi pia ndio wasia wangu na tena nasisitiza😭😭😭💔💔💔💔
2026-08-30 12:35:21
1
alhamdulillah :
polesana allah araisishe
2026-08-31 12:51:05
1
user618849458682 :
dah ndoa ni mitihan
2026-08-31 04:11:06
1
msuya zuhuraty :
🥺
2026-08-31 12:57:25
1
manso :
والكاظمين الغيظ والعافين عن الناس والله يحب المحسنين
2026-08-31 13:59:09
1
mushi bilali mang'ola :
tujifunze kusamehe jaman nafsi zipumnzike Kwa aman👏
2026-08-31 05:40:26
1
To see more videos from user @beyhatun97, please go to the Tikwm
homepage.