The Lastborn :
niwatafsirie au....okay iko iviii.
Baba: wanangu mnanichanganyax2
Mtoto1: baba mzee jose, wa ngege, na sisi ni wanao, na mbinguni wanakuhitaji, kufa kuna kuhitaji, lazima ufe, sasa treni yako ya shinyanga pamoja na mashamba ya nyabusanghwa lazima ukabidhi, au vp mbomoji.....
Mtoto2: ooooh, uko sawa dogo....,faza; mwenga wako ameniomba range, yaani sina noti, yaani sina senti, sasa lile shamba lako bora(litongo) pamoja na mbuga zooote nipe mimi apa, we faza unakufa muda si mrefu, mbinguni wanakuhitaji, nenda faza ukapumzike, umetenda mengi mpaka na kutuuza, faza...hey owaaaa nyie..njooni tumnyonge😂...heeey Jakazi, ngoja nilipue bange yangu tumnyonge😂...kuta umemshikilia miguu😂, nimnyonge tutachelewa kugawana urithi....kufa ashagoma...anyongwe sasa😂😂
Baba: Hiiiiih kumbe sina watoto apa,😂 yaan mnataka mniue mrithi mali zangu,ivi mnajua nilikozitolea, pumbavu zenu na mali zenyewe za ndagu😂, jaribuni mnye moshi muone😂, si mnazitamani, eee zitawatoka bange😂😂😂😂
😂😂NAOMBA FOLLOWERS WAONGEZEKE BASI😂😂
2026-08-31 20:05:13