whatever I experienced three months drove to depression
2026-09-02 01:45:45
7
G.luck :
aseee nimepigwa tukio mpaka nikaomba ushauri Kwa ex yaani nimependa kulia Kwa ex wangu
2026-10-08 19:06:11
5
lister1994 :
Mbona watu wote wameachwa kwani mahusiano yamedata na nini kwani😆😆😆😆😆😆😆😆
2026-09-21 19:11:37
2
Abubakari Kijiko :
me naambiwa spendwi nikipost analaik na anaomba nimnunulie miguu ya kuku jaman kwel
2026-08-30 11:05:24
14
👑 Official_Ronie :
asante sana kaka yngu napitia wakat mgum san ndan y moyo wangu naumia san kaniamby hatuendan leo h n kaniach nmeumia san
2026-08-31 01:06:51
13
cuttey74 :
Asnt kaka angu🥰 umenitia moyo sana
2026-08-30 10:09:37
31
Luxurious@ :
na karma inakua inamfata naongezea hiyo
na mtu akikuacha ndio unazidi kuwa mzuri na kung'ara
2026-08-30 12:15:32
23
Selina peter :
kweli kaka asante Sana Kwa ushauli
2026-10-16 20:35:55
1
Hasnat wajeshi❤️😘 :
😭😭😭😭😭😭naumia mnoooo
2026-10-12 18:15:07
3
Hunaidha Chikupila :
mm mara ya mwisho nlimtumia msg nkamuuliza ivi unazani mm siwezi ishi bla ww basi tokea hiyo ajawah ona cm yang wala kumjibu ujumbe wake anaonitumia
2026-10-12 17:53:56
1
Mr. smart 996 :
majeruhi wapo wengi jamani hadi naogopa
2026-08-31 12:20:46
8
nifakp🍒🍇 :
cwezi kukunyma like🥰umeongea neno
2026-08-30 11:41:41
6
SHEMASI ✝️ :
wazee mnawez chkulia poa achan na kitu kuachn wazee acha kabsa ukipt mtu ankupnd jtahd kutomuangusha
2026-09-13 20:55:14
3
Deer🧸🎀🌸 :
kuachwa inawahusu wanaume au wanawake 🥹
2026-08-30 09:49:55
5
👑 Official_Ronie :
umnitia moyo san kaka yngu nakupnd
2026-08-31 01:07:13
6
SUZZY KITCHEN &FRESH JUICE 🍔 :
Kama amekublock wasap na instagram ataonaje sasa jmn
2026-10-03 14:44:22
3
SonBryton :
aisee zarau kaa
2026-09-22 18:08:24
0
@#.COM .Sharp.VeroohKeithy🇰🇪 :
my situation 😂 now
2026-10-11 12:51:11
1
🦋mommy 🦋 :
alininyamazia na kueka profile pic Dem mwingne dhen yote hiyo haikutsha akampost dhen after 5 dayz aknitxt n kuniambia aninimiss mtu km huyo umfnye aje
2026-10-01 21:33:19
3
Joyce :
naumiaaa jamn naumia,,
2026-09-22 21:50:21
2
it's Tee ✌️🤞 :
yule jeur sana cjui kama ataumia 🥹
2026-10-08 20:57:21
2
sentary fabriann :
atami apata mm
2026-09-02 10:59:58
2
To see more videos from user @bongoplugtz, please go to the Tikwm
homepage.