@njombememes: Share slide ulioipenda zaidi Kumbe chako ako hakupo ndo na hauna taarifa 😂😂 slide 1/11 Siondoki kwenu mpaka mpike nile na nishibe 😂😂😂 slide 3/11 Ona sasa mnaenda clinic kwa miguu akati mlikua mnaenda guest na crown 😂😂😂🙌 #njombememes #fyp #njombetiktok #njombememes #fypシ゚viral