@muniba.bahero: “Maadamu Mwenyezi Mungu yuko pamoja nasi, hakitatupata chochote ispokuwa kile ambacho Mwenyezi Mungu ametuandikia. Basi sifa njema ni za Mwenyezi Mungu daima na milele. 🤍” #sheikh_bahero

𝓜𝓾𝓷𝓲𝓫𝓪 🇰🇪
𝓜𝓾𝓷𝓲𝓫𝓪 🇰🇪
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 30 August 2026 09:28:45 GMT
24686
2819
29
25

Music

Download

Comments

asmaabrahman571
Asma Abrahman :
Wallah hii video imenifanya niirudie mara kwa mara zaidi ya mara Mia nimetaka kudanlod hujaweka kudanlod imenigusa hasa moyoni sina desturi ya kuandik comment lkn hii imenigusa hasa 🥺 nimemkumbuka Sana marehemu Baba angu Allah amrehemu ameen appearance yake kama ya marehemu Baba angu tangia nipo mdogo alipoondoka duniani basi nafeel Kama yeye vile navuta taswira Allah ampe umri Mrefu na wenye kheri Sheikh wetu utakao nufaisha duniani na akhera insha'Allah
2026-09-01 17:28:11
24
user39781731397538
Karim Abdul 🤞 :
sheikh alietutowa gizani Mashallah Allah ampatie maisha marefu🙏
2026-08-30 10:51:24
24
mahreez8647
Mahreez :
Uyu mwalim mim simjuw Ila Mungu ampe mwisho mwema 🤲🤲
2026-09-01 16:34:32
6
k.hwley
H.A.E.S.R :
Allah amhifadhi twampenda kwaajili ya Allah
2026-09-02 06:10:25
4
asma.yasir031
asma yasir :
mashaallah nani amejikuta antabasam kama mm
2026-09-02 04:42:25
2
zackymoha001
zackymoha001 :
Allah ampe umri ndefu na amali njema 💯 ametufunza mengi dalil..dalil..dalil, kama huna dalil usilete uzushi kwa dini kasema 💯
2026-09-02 21:45:03
1
salat840
munawar brothers :
الله يحفطك شيخنا شيخ بهيرو
2026-09-02 05:40:56
2
talki.manzi
Mess 🇺🇾🇺🇾 :
Uyu shekh nampenda sana ebu fanya tuwe tuna downlod video zake bana from Kilwa Tanzania😁😭😁😭😁😭
2026-09-01 10:17:05
2
user3880abuuhuzaimah
IBN GOBOHAN TZ :
mudarrisu huyo Masha Allah🥰🥰🥰🥰
2026-08-30 17:09:31
2
sultanmwarasi
SULTAN mwarasi :
asalam alaikum warahma tullah wabarakatuhu...nauliza hii madrassa ni boarding??
2026-09-01 16:35:22
1
markazhaniifiyatisamha
❤️ مركز الحنيفية السمحة ❤️ :
Masha Allah❤️
2026-08-31 16:19:26
3
pretty.gwl34
pretty gwl :
mashallah mashallah mungu akurinde naakupe nguvu
2026-09-01 07:07:59
1
mariam.suleiman.a
Mariam suleiman Amagusa :
mashaAllah
2026-08-31 18:05:12
1
nasserabualwy
Nasser Abu Alwy :
اللهم احفظه و يبارك له
2026-08-30 11:01:50
1
alikassim518
Ali kassim :
mashallah 🥰🥰🥰
2026-08-30 10:37:43
1
mufida_ali_ahmed
♡𝓜𝓾𝓯𝓲𝓭𝓪 𝓑𝓪𝓱𝓮𝓻𝓸 ♡ :
Masha Allah ❤️
2026-08-30 15:22:31
3
user1128243958814
user1128243958814 :
mashaallah ❣️
2026-08-30 21:30:05
1
alpha.1838
ALPHA 1 :
MASHAALLAH
2026-08-30 10:25:17
1
prof.smata
SamTera :
ماشاءالله
2026-09-03 05:37:16
1
abdalla.hamad30
zero pressure :
mashallah
2026-09-03 07:28:03
1
jaji0048
jaji :
allah azidi kukuongoze kwenye kz yk brother
2026-09-02 09:42:24
1
mazuu98
mazuu :
مشاءالله 🙏
2026-09-02 05:30:02
1
saeedy0879
saeedy :
Tunakupenda sheikh
2026-09-02 11:53:24
1
jokerrrrrr374
Mushker :
mashaallah
2026-08-31 17:06:17
1
magoo3350
magoo :
🥰🥰🥰
2026-08-31 05:30:38
2
To see more videos from user @muniba.bahero, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About