@thee_oasis1: Hii swali inataste kama bitter herbs😂 Lakini mbona swala la pesa lina aibu na uchungu hivi kwenye ndoa na mapenzi? #Love #marriage #relatable #theeoasis

thee_oasis
thee_oasis
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 30 August 2026 09:30:25 GMT
113608
17366
369
3844

Music

Download

Comments

brenda_lee31
brenda_lee31 :
I almost shouted yes ama acha tu😂😂😂
2026-08-31 06:56:35
2
kylieamalemba_
Ķ :
kwani mtu anafaa kukula nini?😭😭
2026-08-31 03:32:35
611
daddysgirl947
Judy19N :
karibu niseme eeh,🤣😂 nikaogopa huyo mama yenu anaezatuchapa wote..
2026-08-31 04:30:42
1226
lord_laro
Majesty :
kwani watu hawakulangi pesa😂😂
2026-08-30 10:18:09
1723
emtee_254
Emtee+254 :
Swali ni utakula mapenzi?
2026-08-31 06:59:46
49
emprissy
Wamboe :
Kama mtu mnono nauliza kwani mnakula mapenzi? I've been eating wrong all this while🤣🤣
2026-08-30 18:20:28
2
boujee_blossom
Boujee Blossom :
Ata mapenzi haikuliki🤣
2026-08-30 18:06:51
329
nimmoh650
Nimmoh :
Eeeh tutakula pesa...mapenzi hatuwezi kula😅😅😅
2026-08-30 09:36:10
195
missokubasu
Miss okubasu :
Mamangu to my dm once she gets this video
2026-08-30 17:51:05
5
glaciersglacier
glaciers :
ona vile huyu ameangalia kwingine vile ameskia hiyo swali!🤣🤣🤣🤣
2026-08-30 15:42:52
98
sandrah4311
sandrah :
The principal runs a strict program 😄😄
2026-08-30 21:59:37
1
nanciefoi
🌼 foi :
ntakula pesa nikiwa Maldives ❤️
2026-08-31 06:40:26
11
kingtonydavid
KingTonyDavid :
mbna hamujibu? haiya kapatikana lol🤣🤣🤣🤣
2026-08-30 17:20:36
47
missokubasu
Miss okubasu :
Kwani watu hukula pesa ama mapenzi
2026-08-30 17:39:01
631
kaptainseadog
Kaptain :
si mjibu hii swali.. alaahh!!!!😅😅😅😅
2026-08-30 11:47:30
85
dudeeww11
111 :
Eeeee Auntie😂😂Tunakulako hiyo Pesa
2026-08-30 10:26:50
9
k.a.r.a.yy
Karay💋ྀི :
Eeeh si nitakula pesa aaai hio ni swali gani surely 😭😭😭😭 nafaa nikule mapenzi?
2026-08-31 05:01:21
10
shashashe123
❤️💉🥵 :
hii conversation my mum alituletea na my niece 😂hakuamini majibu😂
2026-08-30 23:10:59
18
innocentmsoo
innoh🌸 :
swali haikua ikue ivo mum😂😂😂
2026-08-30 22:24:25
3
To see more videos from user @thee_oasis1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About