Yaani kunavitu vinachekesha saana kama havijakukuta 🤣,
2026-08-30 11:57:20
102
mary :
lakn mapenzi ni kuacha na kuachwa nilipogundua huo mchezo nikaacha kuumia yan nikiumizwa na mimi nitaumiza tu yan kila mtu atalipia deni lake so asamehe tu
2026-08-31 06:46:38
47
mr.Evans :
KILA NAFSI ITAONJA USALITI
2026-08-30 16:47:13
38
Ekklesia :
mpaka machozi...this is serious...Mshusheni⚖️
2026-08-31 03:48:57
40
Ysher ❤️ :
Ali n mm kabisaa sijasamee wala kusahau ila mung ambarik tu😏
2026-09-02 05:16:55
4
BillzMotors7 :
Dah ili jambo uwa ni la muhimu sana kuliptia,kuachwa pale usipotegemea unanyooka ila ukirudi kwenye mstari unakuwa chumaa kweli
2026-09-01 09:17:45
27
Jojo💞 :
huyi ni mimi kabsa, sijuw ningekuwa wap🤣🤣
2026-08-30 12:18:00
16
G2 bad 26 :
true xtory
2026-08-30 10:54:18
6
Hazaal :
Kabisaa, Mungu Akubariki uliyeniacha Mungu Akanifunguliya milango ya rizki, Maaashallah