@bluetilapiatz:

bluetilapiatz
bluetilapiatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 09:33:22 GMT
217701
3627
156
274

Music

Download

Comments

yusterluuca70
yusterluca70 :
uncle who uncle what uncle where uncle which😄😄
2026-09-21 14:12:13
1
user82268089797738
🌷PHINER🌷 :
UNCLE WHICH? UNCLE WHO?😳😂😂
2026-09-20 11:27:34
0
adacha904
adacha :
😂😂😂amka ule na anko,mi siwez bana, tena huwa sipendi aangalie vyakula vya watu
2026-09-17 10:31:05
13
chif.ngote.classc
Chif Ngote Classc :
ndiooo wambie kbsa awamu hii ma uncle atuelew
2026-09-18 11:47:19
0
mudrck00
mudrck :
Dunia watu wamekuwa na roho mbaya sana
2026-08-30 17:37:04
11
mama.ruuu78
mama ruuu :
siku nyingine ukipika iyo pl pl kata iko kijiti ata kidogo
2026-09-19 19:23:29
2
rachel.kasela
Rachel Kasela :
kwani mi hata nakusikiliza mawazo yote kwenye mchemsho
2026-09-04 10:29:54
9
asimwekassa
Ak6 :
Niko na stress please 🤣🤣🤣
2026-09-16 09:19:33
1
noreen727
Noreen :
huo ni uchoyo ukiona mtoto yupo karibu nawe jua kuwa hilo ni jaribu lako mungu anataka aone kuwa je utalishinda na hiyo ndo baraka yako ya kufika salama usipende kuweka mbele chakula hata usiposhiba huwezi kufa kwa kumsaidia mtu pambana na jaribio ulishinde
2026-09-21 07:40:31
1
user9241023535
Elizabeth :
me samaki tu had nmemeza mate🥰🥰🥰
2026-09-01 10:57:16
0
brytony.revocatus
Brytony Revocatusy :
Kama ni mtoto there is no problem bro
2026-08-31 17:31:15
6
user1972723542470
Antia🥰 :
ngoj ninunue samak nile
2026-09-17 08:49:35
1
cicie_glam
cicie :
amka ule biscuits na anti😂..amka anti kanunua biscuits mle wote...jmn me staki
2026-09-20 10:46:51
1
mamakelai
husna mkama :
inategemea jaman kama nisafari ya ghafla naiyo akiba huna utaacha kisafiri?
2026-09-01 13:44:45
0
naomijoel234
Naomi Joel :
hivi huwa ni kwel kuna mama anaweza fanya ivyo? amna bana
2026-08-30 13:00:12
7
rehemakhamese
rehemakhamese :
wambiie wamezd
2026-08-31 09:02:43
1
winny.shayo
💫winnie🥰 :
kwann umwambie mtoto amka ule si ungoje apewe watu wengine wanaharibug watoto
2026-09-17 12:17:15
2
rozeyroyaltouch
rozeyroyaltouch :
Hmn kitu kama hicho jmn🥲
2026-08-31 17:14:48
1
fridatemumasaule
Fridatemumasaule :
Wanakeraga sana 😁
2026-08-31 14:47:22
1
gasper1234560
Gasper :
kama mm ndio anko,namnunulia huyo mtoto sahani yake ya chips
2026-08-31 09:40:22
2
larentaambala
Larenta Clarice Ambala :
😂😂😂😂 amka ule na uncle🤣
2026-09-21 06:39:39
0
soipeyrolekimaki
soipeyrolekimaki :
waambie bwana wamezidi hao🤣🤣🤣
2026-09-21 16:15:01
0
binti.mpole2000
binti mpole2000 :
waambie
2026-09-21 13:01:09
0
user6297149118175
agnes :
ni kwel yalinikuta nilichukia
2026-09-21 21:06:24
0
aish.com.360
Aisha mohammed :
😂😂😂😂😂 nimecheka Kwa sauti jaman hahahahahhaa
2026-08-31 12:12:47
0
To see more videos from user @bluetilapiatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About