@kajenjere_media: WAKATI HUO UMECHANGIA ZAKO 50,000 UNAKUTA CHAKULA NI KIEPE YAI NA MATUNDA, NENO MOJA KWA KAMATI YA HARUSI 😂😂 #kajenjereprinting #kajenjerewastemanagement #kajenjeretradingcompany #kajenjeremedia #kajenjeretelevision

Kajenjere Media
Kajenjere Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 09:38:08 GMT
57503
915
23
63

Music

Download

Comments

ibrahim_simba
IBRAH GM :
tunachangia ili kufanikisha jambo la ndugu zetu lifanikiwe, ndo maana kuna harusi tunachangia na hatuendi
2026-08-30 17:30:04
11
mankaisrael667
Ellie..🎀🤍 :
Naweza kuondoka na shela
2026-08-30 15:47:53
4
user812393093169
prisence yuslain :
naombeni chenchi yangu
2026-08-30 15:03:32
0
jane.sisso
Jane Sisso :
nikimaliza kula mwenyekiti wa kamati aandae chenchi yangu.
2026-08-30 17:26:50
2
alp.njigo
Alp Njigo :
Nimewah kulazimishwa kunywa pombe kama siwez nichukue maji madogo Toka apo kadi nazitazama2
2026-08-30 19:52:05
0
zouh.chatta
Zouh chatta :
waache utapeli
2026-08-31 17:56:03
0
user856512820109441
baby girl :
nakuwa bwana harusi
2026-08-31 07:21:58
0
hbzo12
HBZO :
tutakutana sisi sio milima
2026-08-30 14:29:28
0
godfre164
Godfrey used spare parts :
😂😂😂hela watarudishaaa
2026-08-31 11:05:47
0
neema123olomi
❤️Neylee🔐 :
bora hata maaan ndizi zinachosha
2026-08-31 13:35:51
0
mabebeza.26
Merkzedeck.026 :
tulishawah changia 70k tukaishia kukosa kabisa chakula💔from there sijawh changia tena
2026-08-30 16:27:53
0
jgoldenmine
🎻J Golden🎧💫 :
kwanza Naenda kwenye mfumo wa Umeme kwenye huo Ukumbi NAZIMA Sytem nzima Ya Umeme Kifuatacho Mungu Ndo Anaejua
2026-08-30 10:11:49
0
hesantsan98
hes@g@!n :
Bora ningeagiz kisinia changu nipoe nacho
2026-08-30 17:03:46
0
2ndborn48
Juliefide🌹🌹 :
maharusi hawaamini wanachokiona😂
2026-08-30 19:13:09
1
melaniusfernandes
melaniusfernandes :
sasa ni wakati muaka wanandoa kumuiga CHRISTIAN RONALDO harusi inawatu saba tu hakuna vinyaji ni kwenda kanisani na kubarikiwa na kwenda nyumbani au honeymoon [Big LOL]
2026-08-31 10:12:16
0
useryasher1
aysherhussein :
waw wasiwe wabunifu😅😅
2026-08-31 08:03:53
0
esthershigemelo34
Tiffan🥷 :
😂😂😂😂lbd sio Mimi napita n kreti la vinywaj
2026-08-31 08:34:13
0
joxhua.alistidy
Joxhua Alistidy :
huenda kuna pombe za kushona maana sister wanyonyaji hatudagilii diko
2026-08-30 12:37:50
0
sonmitch6
kingragnar :
🤣🤣🤣🤣
2026-08-30 15:32:51
1
To see more videos from user @kajenjere_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About