@stuadventist: Mwenyekiti wa Unioni Misheni ya Kusini mwa Tanzania, Mch. Joseph Mngwabi, amewakumbusha waumini na viongozi katika ngazi mbalimbali, kuanzia kanisa mahalia hadi ngazi ya Unioni, kujiandaa kwa ajili ya uzinduzi wa SautiMoja27 kiulimwengu utakaofanyika Sabato, Septemba 05. Aidha, Mch. Mngwabi amewasihi washiriki wote kujipanga kushiriki kikamilifu katika utume huu kwa kuwa wainjilisti wa kidigitali, wakitumia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kufikisha ujumbe wa Injili na matumaini kwa watu wengi zaidi. Ni wakati wa kutumia kila jukwaa, kila sauti na kila fursa kumfikia mtu mmoja zaidi kwa ajili ya Kristo. #mamboyotemapya #tumainilinaanziahapa #mamboyotemapyatumainilinaanziahapa

STU ADVENTIST
STU ADVENTIST
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 09:45:16 GMT
26398
2761
53
117

Music

Download

Comments

mbwam
Charles Mbwambo :
Ahsante kwa kutukumbusha na wasiojua pia wamepata ujumbe, amina sana
2026-08-30 18:20:49
9
ndayishimiyetiriphoni0
🫶 :
bwan atakuwa pamoja nasi
2026-08-30 13:43:07
6
user9479204124440
my son🎉🎉🎉 :
amin bwana yesu ausike na awape nguvu viongoz wetu wa dini
2026-08-30 17:13:26
2
debolamiliton
deborah :
amnia mmbarikiwe sana watumishi
2026-08-30 14:58:39
3
user7125488613654
Esther laurent pastory :
Aminaa tunangojea mahubiri kwa Furaha tele
2026-08-30 20:19:40
1
jackynyakego
Jacky :
🤔🤔🤔🤔 Ecumenism
2026-08-30 19:39:19
1
isidorimayagilo97
stnema :
Baba wa mbinguni atusimamie kwenye haya maelekezo
2026-08-30 19:02:46
3
dotto.robert5
Dotto Robert :
mambo yote mapya
2026-08-30 11:27:15
1
eve250428
Eve :
amenaa
2026-08-30 18:33:36
1
user26104654323365
A 🙏 S🙏 W🙏 :
amen 🙏🙏
2026-08-30 17:11:46
1
iwilsonka
Will✊🏿 :
Mambo yote mapya
2026-08-30 14:32:24
2
a13692795
Boaz :
𝐀𝐦𝐞𝐧
2026-08-30 13:34:23
2
user2483381109159
zippy kemmy :
amen 🙏🙏🙏
2026-08-30 18:54:56
1
abigaelmoriango
Abigael :
amen 🙏🙏
2026-08-30 19:09:32
1
miss.mary59
miss mary :
Amen🙏🙏🙏
2026-08-30 17:42:07
1
lilianloiza
lilianloiza :
Amen
2026-08-30 18:20:16
1
user9034320503061
user9034320503061 :
amen
2026-08-30 13:42:53
1
user30344963931674
hassan :
Amen
2026-08-30 17:05:33
1
joycesamwely8
Joycute🦋❤️💃 :
Amen mbalikiwe 🙏
2026-08-30 16:01:59
1
maregesimtani131
Maregesi Mtani :
kuungana na kanisa la ulimwemgu lipi?
2026-08-30 19:34:30
0
carolineatinda
Atinda :
Amen 🙏🏼 🙏🏼 🙏🏼
2026-08-30 20:42:25
1
rodahosiemo346
Rodah Osiemo :
Amen
2026-08-30 19:46:14
0
maregesimtani131
Maregesi Mtani :
Dini moja siku moja ya kuabudu
2026-08-30 19:35:07
3
www.christfollower
Christ Follower :
nilikuwepo boko mtaa wa tegeta
2026-08-30 19:59:10
1
user6520112168741
Dieu seul rhubane habiragi :
asante saana kabisa
2026-08-30 10:13:06
1
To see more videos from user @stuadventist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About