@nguvu_ya_madhabahu: MTUME MWAMPOSA BULLDOZER AMETANGAZA UJUMBE WA MWEZI WA TISA NI "MWEZI WA UUMBAJI" #sibukaradiotz #ariseandshinetanzaniai #news #tanzania #viral

Nguvu ya Madhabahu
Nguvu ya Madhabahu
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 09:50:59 GMT
79159
11228
899
253

Music

Download

Comments

user39210961613113
kambaree Kennedy nikodem fobyy :
Kennedy nikodem :nitaumba nitaumba dukaringine mpsa
2026-08-31 12:35:38
0
nanjalahuveronica66220
nanjalahuveronica66220 :
Aimeeen, September to remember napokea baba angu🙏🏽🙏🏽🙏🏽
2026-08-31 12:45:27
0
user2336055706291
Edward :
amen and amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 just amen and amen and amen
2026-08-31 07:40:08
0
user1594368479876
Dollar bills 💸🤗 :
Mwezi wa 9 ni mwezi wa kuumba in Jesus name Amen 🙏♥️
2026-08-30 20:45:44
1
user9367813037933
Tii😉 :
ameeeeeen jmn
2026-08-31 18:12:30
0
chakolee18
bosslady :
watoto
2026-08-31 13:11:02
0
user20869813395971
princess F :
Napokea uumbaji wa mtoto ktk tumbo langu🙏
2026-08-30 19:31:12
175
2003samrah
samrah Ally 🦋🧑‍🌾 :
nitaumba nyumba mpya nitaumba kazi yangu nitaumba mafanikio yangu
2026-08-30 16:28:35
66
jacklinemwalongo6
Jackline Mwalongo :
napokea kuumba mtoto wakiume🙏🙏🧎🏾
2026-08-30 11:48:43
40
b.beauty.point.mwa
TRICE🇹🇿 :
Tulio zaliwa mwezi wa 9 piga kelele
2026-08-31 20:18:59
14
agiana96
Agiana :
ni mwez wang wa kuumba mamb yang 1.watoto 2.afya njema 3.uchumi wangu
2026-08-31 06:28:18
33
lozina.sanga
Lozina Sanga :
nitaumba kiwanja nitaumba ujauzto wamapacha
2026-08-31 06:34:59
21
officialree44
reecute🌸 :
napokea uumbaj mpya kwa mwanangu magonjwa yote yakapone😭🥰
2026-08-31 04:17:41
15
zainah4246
zainah@ :
ameni tunapokea nafamilia yangu
2026-08-30 14:12:32
7
user6008032530936
jacklin m :
nitaumba bihashara, nitaumba nyumba yangu, nitaumba gari yangu 🥰🙏
2026-08-31 05:28:55
6
official.millen
Official Millen :
Amen Baba napokea uumbaji wa mtoto wa kike🤲
2026-08-30 21:18:13
8
rameq.tz
rameQ tz :
namm mtumishi naomba mungu anisaidie nipate mimba nanijifuguwe
2026-08-30 20:29:27
6
user7085210118469
Mama Gift :
Ameni. napokea kuumba mambo makubwa kuanzia sasa.
2026-08-30 10:57:06
2
withinthepeacefulgod
peace Boaz venance 🙏🙏💓🥀💞 :
Ameeeen nimwezi wangu wa kuumba mambo nitaumba biashara yangu nitaumba nyumba yangu nitaumba familia nzuri nitaumba na kupokea roho mtakatifu na kunena kwa lugha
2026-08-30 11:04:52
8
annalekule100
AnnaLekule100 :
Ameen❤️🙏🏻
2026-08-31 10:07:24
3
janetth66
user1775723877633 :
nitaumb kaz ya mwanang nitaumb nipat mtaj nitaumb nipat nyumbn
2026-08-31 04:31:05
1
evil.angel592
🦋Angel☺️☺️ :
napokea mtot wa kiume mungu naomba nijalie mwez huu niumbe🙏🙏
2026-08-30 19:53:52
4
chity.bby
chity bby :
Najiungamaisha na maombi haya kwa jina la yesu nitaumba uzao wangu 🙏🙏
2026-08-30 20:23:01
1
nelyaheart6
Nelyaheart💞 :
Ni mwezi wangu wa kuumba kila kilicho kizuri kwenye maisha yangu
2026-08-30 19:54:04
3
mariammbayo
Mariam Mbayo :
napokea katika jina la yesu
2026-08-30 13:55:01
3
To see more videos from user @nguvu_ya_madhabahu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About