@sophyntibah: Sometimes unashangaa kwann wateja wamepotea gafla, au wanapita wanakuona wananunua mlango unaofata, yawezekana hili limekukuta..! Usiache kuomba kwa sala na dua linda biashara yako vyovyote uwezavyo!😒
Mi ilinikuta nikiwa mahali nauza sweta mtu ananambia Mbona unauza majagi 😅😅😅wee mteja mmoja akanistua akanambia nidekie maji ya chumvi mawe nachanganya na Magadi mpaka leo haijawahi kutokea tena
2026-08-30 17:03:24
97
saudath :
ndo mie mtu anakuja eti hee kumbe hapa Kuna duka,napitaga silioni imagine 🙌
2026-08-30 19:04:55
79
Aika :
hii imetukuta wengi me nauza cosmetic ila mtu anaingia anauliza nepi za watoto wengine wanauliza mbegu za mahindi nyie nyie
2026-08-30 18:20:34
27
neymah :
kuna mteja aliingia dukani kwangu akauliza hapa ndo duka la madawa,nilibaki namwangalia sikummaliza halafu mm nina liquor store na chupa zimepangwa zinaonekana vzr kabisa
2026-08-30 21:09:19
46
Neema Lucas :
sitii neno kipenzi me nauza vinywaji ila naulizwa sabuni vocha mandazi mteja anapita anaenda duka lingine ananunua kitu ambacho na wewe unacho unajiuliza mbona alipita hapa hakuona au? wateja wengi wamehama acha kabisa 🥺🥺
2026-08-30 11:42:19
20
Maggie 🇹🇿💍🇳🇱 :
Halafu Morogoro ndo wanatabia hiyo hata mimi nilikuwa nafanya kazi stationary Morogoro mtu anakuja kuulizia majembe
2026-09-02 10:03:04
4
lisaperfumetz :
Si tulikuwa tuna fungua office kila siku ila mtu anakuja anauliza mbona hii week yote mlifunga ? 🥹 imagine mtu anakuja anapaki gar hapo mlangon kwako anavuka barabara kwenda kununua kitu hicho hicho unachouza na akirudi anauliza eehh kumbe hapa kuna duka ?😳 kubwa kuliko yote hyo siku tuko mimi na dada angu akaja mteja akaondoka kesho yake anarudi anasema mbona jana nimekuja nimekaa dakika 5 hamna mtu wakati huo tumekaa hapo na hatuonekan 😭🙌🏽
2026-08-31 09:18:06
19
MWERA THE HOT CAKE🐕 :
Yani me pia dukani kwangu nauza vifaa vya umeme lakini anakuja mtu kutaka dawa, mwingine sigara etii kaona box km za sigara😂😂
2026-08-31 04:08:20
10
🍁RASH GIRL OUTIFTS🍁 :
Jamn na Mimi nauz nguo lkn wateja hawajiii mpka navurugwaaa jmn na nipo morogor
2026-09-02 18:56:47
5
martha💓✈️ :
Mimi Kuna kamchez nakaona kana taka kuingia kweny hii ofci yangu imagine mteja anakuja Mimi nafungua saa Moja mteja anakuja saa kumi anakwambia nimekuja saa tatu ulikuwa umefunga mbna unachelewa kufungua🥺🥺🥺na siyo mala Moja mungu naomb nisaidie aisee
2026-09-07 15:09:35
5
Vee collection back up :
Me leo kuna mteja ameuliza Kama nna mashati wakati siuzi nguo mm
2026-08-30 19:16:12
5
bubbly 🥂 :
nshawai pita sehemu naonaga tu stationery io siku nasogea naona duka la dairy products,kumwambia yule mama alianza na kusali apo apo
2026-08-31 10:53:31
10
💜 :
nlikua nauza duka la vyakula , mtu anakuja kuulizia mabati sementi😂😂 na sio mara moja
2026-08-30 17:12:52
11
phina_cake_collection :
Ila hii ya kutoonekna hii skieni tu mtu anakupugia simu anakuulza mbna umefunga na upo dukni 😂
2026-08-31 07:47:51
7
jackline frank :
Mungu naomba uifunike biashara yangu na Damu yako takatifu nafunga mipango yao mibaya juu yangu katika Jina la Yesu 🙏
2026-09-07 06:03:17
2
Upendo lebulu :
Ilinitokea Mimi segerea kwa bibi nilikuwa na duka la nguo wateja wangu nawaona kabisa wanapita na magari yao hawalioni tena duka sijui walipiga giza jamani nikiwapigia wananiambia mbona umefunga namwambia lipo wazi mpk muda huu nipo hapa yeye anakataa kabisa dunia hii ya sasa ni hatari sana
2026-08-30 18:36:35
5
Harson Kweka :
mmh hatar kweli kuomba ni muhim sana sister umenipa nguvu sanaa aisee
2026-09-15 09:33:42
2
Widdy Kiddy :
ilisha nikuta biashara ya maduka usimcheke alie firisika watu wanapitia mengi😌😌😌
2026-09-04 19:05:05
3
user5290405621508 :
Jamani huu ni ukweli mm nauza duka la vyakula lakini nilishangaa ghafla ni mtu anakuja kununua kila ck lakini akija anakuuliza unauza sukari nawakati sukari ipo nyie tumuombe tu mungu kwakweli watu wachawi
2026-08-30 17:22:38
5
Phiner beauty salon :
Nina saloon lakin mtu ananiuliza maandazi yapo kweli dada angu umeongea point jmn
2026-08-31 10:48:03
2
user61040442614707 :
alafu mzingatie kitu kama umefunga ofisi akaja mteja anakuomba ufungue umuhidumie usithubutu kufungua mwambie aende sehemu nyingine mambo ni mengi
2026-09-08 19:10:22
1
Violethmwenda Kirumbi :
Biashara mkabidhi Mungu, na itolee sadaka wanadamu wanaroho mbaya sijawahi kuona.
2026-09-15 17:06:36
1
ROYAL SCENTS 💞 :
Haya yalinikutaa 🙌🙌 nauza juice watu wanakuja kuuliza nasuka na kukausha nywele bei gani 🙌🙌
2026-08-31 11:50:55
4
Bill De Paul :
mwamba mmoja alikuwa anafungua duka mpaka anafunga hauzi... kumbe wajuzi wa mambo walifunga duka wateja wakipita wanaona pamefungwa 🙌🙌 mpaka mwana mmoja akamwambia changamka mjini hapa
2026-09-04 12:13:29
2
jackiecollection01 :
Mimi kuna mtu alikuja kuulizia mafuta ya taa salon😌
2026-09-04 00:05:58
0
To see more videos from user @sophyntibah, please go to the Tikwm
homepage.