@mwanachuofamily: Mwanafunzi kutoka CBE anasema kuwa DEGREE NYEPESI SANA HAPA Tanzania inapatikana TIA 😃 @miss_catsen🌸 Wana TIA mnasemaje kuhusu hilo . #viral #trending #fypシ #swahilitiktok

Mwanachuo🎓
Mwanachuo🎓
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 10:16:24 GMT
219452
7769
706
501

Music

Download

Comments

daniel.r.swai
Daniel r swai :
mm nasoma cbe lakin T.I.A kugumu bhnaa😂
2026-08-30 10:36:17
244
infinity_fx2
INFINITY :
CBE ndo wanachukua form six yeyote hata awe na D moja
2026-08-30 12:30:54
115
qenvivob3
Dad’s~Qen🩷🌸 :
TIA ni nyepese ukiwa njee ingia uone moto wake☹️
2026-08-30 13:03:39
184
nyamandemanyama8
nyamandemanyama8 :
wanaona chuo chepesi ila ndio mzizi mzuri wa uhasibu ni TIA pekee
2026-08-30 11:18:41
78
officialqu33n5
M.s Hikmer🦋🩵 :
Ila TIA sisi ni mastar 😂😂 maana vyuo vyote wanatuandamaa jmnn
2026-08-30 20:32:35
51
behindthesmile05
Secret Smile 😊 :
Mm nasoma IFM lkn naomba TIA wapumzishwe khaaah 😳😄
2026-08-30 12:33:46
63
miss__winny0
It’sWinny🙃🌹 :
We kaa usome hakuna GPA nyepesi
2026-08-30 11:09:40
63
user3182929402613
Mtoto wa Bibi..🙂 :
😅😅😅 hivi ni kwanini mnatupenda sana TIA au kisa dada zetu wanavaa vijora😅😅. sasa kama TIA degree nyepesi si ungekuja kusoma 😅😅 wakati CBE hata uwe na S Moja unaenda pale. kingine wanakutumia mpaka nauli kama upo mkoani🤣
2026-08-30 15:05:38
52
abdulraufu69
Specialist 🚚 :
Sasa we kwanini ukateseke cbe wakati kuna degree nyepesi TIA
2026-09-11 05:25:41
32
shebby__1
Shebby__ :
Kumbe anasikia aje TIA ajionee hyo cost account 🥺
2026-08-30 12:41:41
18
preciousevenlyte
Precious.collectiontz🦋 :
Finalist 2026 Cbe mpk ss hawana uhakika wa kugraduate….mifumo kila siku inacheza haijawahi kutulia😅ukienda ofisini ni kuandika majina kwny daftari na msaada hmna mara wngine cosis inasoma mwaka 1😅wengn 3 na hpo wanasema unaweza usione jina siku ya graduation🤦‍♂️
2026-08-30 17:09:45
12
victormshabaha255
Victormshabaha255 :
TIA pagumu aiseee acha kabisa test two unasimamiwa na walimu watatu
2026-08-30 17:00:11
15
kim_riri07
R i R i :)💞 :
😂😂TIA watakoma huu mwaka mpk kiwe kigumu Kama IFM
2026-08-30 16:50:35
10
berry.154
ꪉꫀꪹꪹꪗ!ᥫ᭡ :
Unaweza ukaapply dirisha lipo wazi upate n ww gpa 4😂
2026-08-30 19:38:09
9
juanicehappy.store
Juanice-happy.store :
Mnapapenda tia ila hamjachaguliwa wamewakataa na bila kutaja tia hamtreand Alf mwambie asisikie aje ajaribu
2026-08-30 12:15:44
8
harptz
BROWN GUY 👦 ✨️ :
ila bongo mtu anasoma chuo kingine anajifanya anajua mambo ya chuo kingine kama sio umbea nini😂😂😂😂
2026-08-30 16:41:02
15
grammybaby23
🦋Grammy baby🦋♐️ :
chuo chenyew CBE 😂😂😂😂😂😂 jaman mtu ata ukawa una division four wanakuchukua 😂😂😂
2026-08-31 21:03:29
5
loms060
حمزة :
Kwan hamuwez kutrend mpk mtaje TIA
2026-08-30 12:20:27
10
familydesire
Ms wisely🇰🇪 :
🤣🤣CBE jaman sijawahi ona mkurugenzi kutoka CBE
2026-08-30 10:38:53
41
tenten_255
Tenten :
jmn ni kwl CBE pagumu, ugumu sio wa masomo lkn uongozi wao ni mbovu vibaya mnoo... mwanafunzi usiwe na changamoto utasota kweny kordo wewe hata mwaka, ndo maan wanafunz WA CBE wakipata changamoto ni kheri wakaanze up ya TIA
2026-08-30 11:58:33
29
mricon92
Hidden gem :
Kwan tia mnasemaje
2026-08-30 10:30:56
6
user59872681713090
venny...🦁🔐 :
Owaa af TIA wotee mastar vp,
2026-08-31 07:28:06
7
jujukida0
jujukida :
yan mwanang ukifany tu interview ukiitaja TIA lazm iondokee ujuee kwet n unyamwez san[Tears of joy]na akion chepes ajee asomee yy
2026-09-12 11:37:43
6
official_stox23
ستانلي نغومالي :
shule zishaanza kujilinganisha na vyuo😂
2026-08-30 11:33:32
6
mwinjas.daughter
Mwinja's daughter :
wa marketing tujuane 😻🥰
2026-08-31 06:19:54
0
To see more videos from user @mwanachuofamily, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About