@guidance313: Moja katika mambo yanayoleta kutoelewana baina ya waislamu ni suala la tawassul(kumuomba Mwenyezi Mungu swt kupitia kwa waja wake wema,kama vile mitume na maimamu) Je yajuzu au haijuizu? Sayyid Aidarus alawy achambua na kuelezea suala hili kwa upana,... #islamicpost #spirituality #motivation #inspiration #guidance
Kwa maelezo ya huyu sheikh
Naamini kwanini masalafi wanasema tusome na tuelewe qur an na Sunna kwa ufahamu wa maswahaba kwa sababu lau maswahaba wote wangeelewa kama sheikh huyo alivyoelewa basi wao wangekuwa wa kwanza kufanya Hilo unalolitetea
allahu musta'an
2026-08-31 07:48:13
0
🎤✒️🥤 :
huyu ndo sheikhe
2026-08-30 17:19:37
1
shukrisinan :
2026-08-30 19:03:52
0
Mr Yasin Ramadhan :
mashallah
2026-08-30 12:27:53
1
tani :
subhana Allah
2026-08-30 18:02:27
0
Muna Bhai :
Allah Allah Allah Allahumaswally Allaah Sayyidna Muhamaad Waalayhi Sayyidna Muhamaad
Darsa Ya Fikhhii Ya Mujizatull Kurani Karim
Mola Akupe Afya Na Umri Uzidi Kutupa Elimu Na Kutukumbusha
Allah Barikly Fiiy
SIO KITU SAHIHI INAPOFASIRIWA QURANI MPAKA MUWEKE MZIKI VIPI MBONA TWAINGIA KWENYE KUFRU ANAPOTAJWA ALLAH NA MTUMEWAKE LAZIMA TUJUE HESHIMA SASA MZIKI NI WANINI
2026-08-31 05:37:09
0
Najmat 252 :
shikamaneni kwenye kamba ya mwenyezi mungu, wala msifarikiane kwayo.
2026-08-30 18:07:50
1
tawheed :
huyuanapoteza umma
2026-08-30 16:58:44
0
Abu Muqbil :
Sasa kama hayo ndio ukweli tafauti na ukristo ni upi
2026-08-30 13:20:38
1
Joe :
haya maudhu watayafahamu 2090
2026-08-30 18:20:07
1
To see more videos from user @guidance313, please go to the Tikwm
homepage.