@esamkaawele2024: MAJIBU KWA ABU HASHIM NO 2

عصام الدين
عصام الدين
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 30 August 2026 10:33:30 GMT
2014
214
20
11

Music

Download

Comments

alfaqeer092
Alfaqeer :
Shekh nakufuatilia sana sana sanaaaaa na nimefaidika sana Allah akujalie uwe pamoja na Mtume عليه الصلاة والسلام duniani na akhera
2026-08-30 11:51:09
5
binhamdoun2
BIN HAMDOUN :
kwani hawa mawahabi wakisoma elinu yao yaenda kichwani au tumboni?
2026-08-30 12:03:55
4
muhammad.khatwab
Muhammad Khatwab :
maashallah Mungu akubariki sheikh iswaam
2026-08-30 11:23:09
1
khalid_maula_dawiila
Khaled | خالد :
الله يبارك فى عمرك وأيامك
2026-08-30 10:47:27
2
445der
wisdom is wealth :
wallahi shekh iswamu Kila unachopost Ktk hakina makato Kato ya maongezi anapost city vinajieleza Tena Kwa ushahidi wa vitabu ahsate allah akulipe kheri
2026-08-30 11:16:44
1
yusufudiwani
DOCTOR SHEIKH YUSUFU DIWANI :
جزاك الله خيرا حبيبي وشيخي
2026-08-30 14:11:25
1
ahmadmohammad192
Ahmad mohammad :
بدعة تقسيم التوحيد
2026-08-30 11:01:47
1
swalehsasaru
swalehsasaru :
Assalam Alleykum . mm nimefaidika sanaa nanimezidi kuwa na uhakikana mambo mingi kila jawabu yako yatoka kitabuni unayunuku huongezi kitu unafafannua huko ndio ukelemishana sio kuongea pasi na vitabu shukran sana isswam mm ndugi yako kutoka MAMBAARAWWIII
2026-08-30 13:55:35
1
muhamad.abdalla
Muhamad abdalla :
ningeomba ukiweza ziweke date vidoe,kazi nzuri
2026-08-30 13:00:22
1
abu.farhan721
Abu farhan :
جزاك الله يا شيخي
2026-08-30 19:52:22
0
shenjee3
shenjee :
sheikh Islam wajibu tu utapata thawabu zako kwa Allah
2026-08-30 14:50:09
0
ibnmasoud23
muhammadmasoud69 :
بارك الله فی كل حالك
2026-08-30 12:18:02
0
suleimanmohammed048
ibn muhammad :
mungu akujaze khair nafaidika kila darsa yako
2026-08-30 14:11:04
0
hassanmuhammad3862
hassan mohammad :
Masha Allah
2026-08-30 12:19:52
0
ubaidaa51
Ubaidaa51 :
mashaaallah
2026-08-30 13:34:56
0
shenjee3
shenjee :
kwani huyo shekhe akitoa sauti kubwa ndio atakuwa ni mkweli,wana acting kweli
2026-08-30 14:49:35
1
shenjee3
shenjee :
kwani huyu Abu hashim hafanyi bid'a nzuri,zitele wanazifanya hawa
2026-08-30 15:02:51
0
74.sheikh.ibrahim
sheikh Ibrahim Said :
mawahabi wachukua maneno ya Alshafii waiyapenda.. kama Ile maday MTU akiwa Sufi mwanzo WA mschana jioni atashikwa na wazimu. au kujenga kaburi hayfay.. lakini Kunuti ya alfajri waday ni Bidaa na alihali ina hadithi . na kugawa bida (nzuri na mbaya ) waikataa. ati Alshafii amekusudia maana ya ki lugha... kama ambayo Al Shafii NI mwana mashairi si Imamu WA fikhi na dini...
2026-08-30 20:17:28
0
shakerhamed438
ابو ابراهيم :
🥰🥰🥰
2026-08-30 12:00:59
0
To see more videos from user @esamkaawele2024, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About