Mwanaume unatakiwa kuwa mwanaume achana na hisia mwanaume hafuati kila anachoambiwa afuate
2026-08-30 12:40:53
0
Merveill๐ :
Kwani wakristo ndo walichoma msikiti waliochoma Ni wabuda na wahindu wa nepal ndo walichoma msikiti na mahafa yametokea kwenye mji tofauti na mji ambao watu walichoma msikiti Sasa wakristo wameingiaje hapo jamani kama unaweweza waongelee waislamu
2026-08-30 19:04:20
0
CHEMY :
ndo apo sas ndo ujue din n uwendawazim mtu hufa kw ukimw et mungu kamchukua ugonjwa alitengenez mwanadam usem kafa Kwa ugonjwa wa mung
2026-08-30 19:18:17
0
KAWAWA :
KUMJUA MUNGU HAIMAANISHI KWAMBA HUTAKUFA KIFO NI KWA WOTE NA MATOKEO HAYO YANASABABISWA NA UASI TANGU EDENI
"UNALOPASWA KUJUA"
KIFO HIKI CHA KIMWILI SIO KITU
ISHU NI KWAMBA ULIKUFA KATIKA KUYAISHI MATAKWA YAKE AU ULIKUWA KINYUME
MANABII WENGI WALIKUFA KAMA INGEKUWA KIFO HIKI NDIO MWISHO BASI ASINGERUHUSU MITUME NA MANABIIWAKE WAFE
LAKINI KIFO HIKI CHA KWANZA NI KAMA USINGIZI TU MWISHO WA ULIMWENGU WATAWAFUFUA WOTE WENYE HAKI WATAISHI MILELE WAOVU WOTE WATACHOMWA MOTO ๐ฅ PAMOJA NA SHETANI
UTAKUWA ULIMWENGU USIO NA MATUKIO KAMA HAYO MILELE NA MILELE.
2026-08-30 13:12:40
1
Kessy_๐ง :
piga pini mpaka waamke โ๏ธ
2026-08-30 20:12:07
0
E@MNDAMBA :
UZURI WAKAIDI NA WABISHI WENYE JEURI YA UZIMA WALIANZA MIAKA MINGI ILA HAWAJAWAHI KUFANIKIWA NA USHAWISHI WAO
2026-08-30 11:56:03
0
baja boy :
waulize na utuluki walikufa 3000 je nao walimfanya nini mungu
2026-08-30 11:52:15
0
Sirlim Abuu :
ni janga ,kwaiyo watu washangilie majanga
2026-08-30 11:51:47
0
msukuma mnywamaziwa :
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-08-30 10:59:50
1
Big Boy :
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-08-30 13:14:38
0
To see more videos from user @mathayosangason, please go to the Tikwm
homepage.