@sheikh_kosonso.official: NARCISSIST YEYOTE UTAMUWEZA KWA NJIA HIZI | SHEIKH AMIR KASONSO #kasonso

Sheikh Amiri Kasonso
Sheikh Amiri Kasonso
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 10:56:01 GMT
18930
1651
53
110

Music

Download

Comments

mwanahamisimkurun
Mishbomba79 :
SAWA doctor
2026-09-03 08:27:18
0
aminaminal254
Aminabawaa :
na ukimchukulia poa kwakweli anaondoka mwenyee...alhamdhulilah
2026-08-30 13:27:29
14
rukayaali122
daluu :
tatizo anashirikiana na watu wengine kukukandamiza kwa hio kuishi nae inakua ngumu😒
2026-08-30 13:59:26
10
chamaumma3
mamaummy :
shekh hapo inataka subra kweli kweli
2026-08-30 11:42:38
9
mamyabdull
mamyabdull :
Uyo unamtoa kwa 2 Rakaa tu anaondoka mwenyewe
2026-08-30 13:41:22
5
user4135035141206
happy wambi :
afu wakiambiwa ukweli wanalenda kukasirika
2026-08-30 17:19:55
1
khadijaali5485
Khadija Ali :
mimi nalia kila siku jmn nachoka ila subra ni ngumu kweli ila ukiweza ndio pepo yako
2026-08-30 14:04:26
5
chrstychrst
shush butik :
je kama anakupuga?
2026-09-01 08:09:33
1
shanisultani100
Bint sultan🥰 :
daah mm nusu nishindwe lkn mungu kanismamia alhamdulillah nimemsoma vzr aah asaiv Sina dalili ya kutoka wallah tutazikana Allah atuweke ❤️
2026-08-30 19:10:59
6
yatakamoyo
user2798211544273 :
Shekh Amiri,wengine wakisha juwa kuwa huyu mkewe anamchukulia poa,ataanza kutumia mikono,yaani kupiga sana,!!hayo nimeyashuhudia kwa bint wa dadangu,!!
2026-08-30 17:14:19
2
user2854662272412
Dorothea :
hivyo hivyo kama ulijua
2026-08-30 13:49:56
2
user2286778394203
user2286778394203 :
Shukrani Baba
2026-08-30 16:49:05
3
salamash8
selme :
ndio napitia ila nimejifunza
2026-08-30 12:19:26
3
naima.mohamed74
Naima Mohamed :
kweli kabisa
2026-08-30 11:56:38
2
isakariuki
Isa karis 🇰🇪 :
will I be sinful if I cut someone whose narcissistic off?
2026-08-30 13:00:40
1
choosen052
Mom Ellie ❣️💪 :
daaaah naandika araf nafuta ila haya yote yanaukweli 100% mungu atuepushe
2026-08-30 17:03:23
2
hafsambwanahamza
hafz_sewingstudio.com :
mungu atujaze subra 💪
2026-08-31 06:53:14
1
madam.rey115
Madam Rey :
Asante baba
2026-08-30 19:05:43
1
iddihussein253
Big jr :
Sheikh Allah akuzidishie kila Kheri inshaallah
2026-08-30 14:47:25
1
user13929026995491
ashuraa :
Kwan ndo nani mm sielew
2026-09-03 16:49:18
0
bigdada2025
big dada :
wasichokijua narcissist haachi kilahis hatakama utalilia taraka atakutoa jasho kama utasijiliza ushauri wa kila mtu
2026-08-31 15:16:52
1
rahmo_cutie
realmeh😏😏😏 :
nikweli kabisa mashallah
2026-08-31 03:59:54
0
rahma_saidy
#̶̶₥₳₥₳_฿ØɎ₴ 👩‍👦‍👦 :
mimi sasa mama mzazi narcissist na mume pia nikapata narcissist weeh nimeomba ardh ipasuke niingie mume nshamkimbia bdo mama
2026-09-01 14:41:57
0
babusisqolamu
Sisqo boy Lamu island 🏝️ :
kweli Sheikh 👌
2026-08-30 20:24:05
0
bent_jamal
Bent jamal :
Jamani ukishajuwa Unaishi na huyo mtu please kimbiya mbiyooo kwasababu hawo watu ni manipulators utajikuta umebaki kuwa mtumwa wake bila kujuwa na kutoka hutoweza Tena 🥺
2026-09-01 18:46:42
0
To see more videos from user @sheikh_kosonso.official, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About