Nawapa siri ndugu zangu, Mtume Muhammad S.A.W alikua ni Yatima, hivyo YATIMA anafungua kila lililofungwa Yatima ni kipenzi cha Allah tuwajali Mayatima hawa wapo karibu sana na Allah bila kusahau masikini nao wanaangaliwa na Allah kwa jicho la karibu sana hapa somo lililopo hapo ni KUTOA iwe SADAKA au Kusaidia wasiojiweza TOA, WAPE MAYATIMA WAPE MASIKINI utaona wepesi wa mambo yako.
2026-08-30 16:20:21
10
OMARY NGAJA :
ALLAH HUAKBAR
2026-08-30 17:41:37
7
Ba Yusuf :
ukitaka chochote katika hii dunia mswalie Mtume Muhammad S.A.W Wallah ufanye kuwa ndio uradi wako.Tukithirisheni kumswalia Mtume💯
2026-08-30 17:44:09
12
allyrashidi80 :
Allaahumaa Swali A'alleey!!!😊😊
2026-08-30 13:02:29
4
🌹Ukhty Rahmatullah🌹 :
Naaaam kbisaaaaa
2026-08-30 15:46:48
2
Big jr :
S.a.w Muhammad 💖💖
2026-08-30 14:00:20
3
degerebox :
naam
2026-08-30 11:07:14
2
ashmahiily :
Allah maswali alamnhamad alihi ashabihii
2026-08-30 16:15:54
1
zaituni :
S. A. W
2026-08-30 11:55:13
3
chizi wa moro🔥🔥🔥 :
Allha AKBAR
2026-08-30 21:00:37
0
juniour.jr2 :
huwa namswalia mtume mala 1000, 2000, namshukul mung nikienda kazin rizk huongezeka mpka nachanganikiwa jamon hii ni sir kubwa wat weng hawaijui ila nd ukwer kabs
2026-08-30 19:30:24
2
ngekewa777 :
nimefanya hivyo sana sasa hv nimesha nunua gari huwezi amini yani Mungu ndiyo kila kitu
2026-08-30 20:10:38
0
Z Osman :
SwallaLlaahu alaihi wasallam 🥰
2026-08-30 20:42:23
0
Irakoze :
Shukrani
2026-08-30 19:41:00
0
BODY GLOW&DETOX :
Hakika Ya Rabb. Swala ya Mtume ina Maajabu Makubwa Mnoo 🤲🤲
2026-08-30 21:17:25
0
Tarikimnalala :
subhanallah
2026-08-30 14:54:10
1
Deshka Noor :
Allah sw 💗💗💗💗
2026-08-30 11:35:37
0
سَلَامَة عَبْدُ الْمَالِكِ :
na atakae mswalia Mtume s.a.w mara moja Allah atamswalia mara 10
2026-08-30 12:23:04
5
sam_melodyy :
s.a.w
2026-08-30 16:49:05
1
tiffah :
S A W
2026-08-30 16:12:12
1
Uwababyeyi Subira :
S.A.W
2026-08-30 20:39:49
0
Tiger adesh 🇨🇦 :
SCW scw 🥰🥰
2026-08-30 17:58:46
1
Deshka Noor :
Salalahu alehim wasalam 💗💗💗
2026-08-30 11:35:41
0
To see more videos from user @sheikh_kosonso.official, please go to the Tikwm
homepage.