😅😂 nacheka kama mazuri ila ukweli ndio huo kama mimi dada yangu alikataa sana kuolewa mke wa pili mwisho wa siku amekubali kuolewa mke wa tatu akiwa na miaka 34
2026-08-31 22:20:29
5
user3476133091653 :
Asnte ujumbe umefika 😂
2026-09-01 15:07:17
0
M💯 :
😂😂😂wacha niwekee stataz
2026-09-01 15:52:58
0
Sandra bby :
hatukatai lkn wanasema mke wa kwanza ndio mke wa pili mfanyaji kazi😔😔😔😔
2026-09-01 13:31:13
0
Unique :
Ni kweli lakini uwezo na uadilifu hakuna
2026-09-01 14:21:00
0
shauku :
Ndoa si Faradhi
2026-08-31 17:02:22
1
Ismail Feisal :
mimi hapa nipo natafuta mmoja
2026-08-31 15:55:41
0
Hadija omary :
jaman ka!
2026-09-01 13:17:37
0
user.mohmmed88888888888 :
Kila mmoja alipangiwa wake kaeni kwa kutulia🥰🥰
2026-09-01 07:36:45
0
🌸☘️🌸 :
mie nasbr tyu kuwa wa pili
2026-09-01 13:07:26
0
raika😘 :
Mimi kama make wa kwanza nasema asisubutu mtu kuniingilia
2026-09-01 06:41:43
0
Amish@liababy :
mume wa mtu aje anioe jamani
2026-08-31 16:47:03
0
Ukhty arafa💕💞 :
Upo sahihi
2026-08-31 20:15:45
0
Dhur😋🥰🥰 :
sawa tu kulikoo kuwaa wa wili
2026-08-31 05:27:37
0
mamu samy :
kwakweli hujakosea kama very nice 💯
2026-08-31 17:38:22
0
zuhura :
wapo vzr kila mtu na ridhk ulikata uke wenza utampata t mtu wako
2026-08-31 09:08:48
0
doro :
Kweli jmn
2026-08-30 20:04:43
0
🌸Hidden Gem asya💞 :
me ndo ninae nasbry 2 ndoa niwe wa pili😂
2026-08-31 15:48:30
0
lunaya colection😍😍 :
Jichanganye uwe mke mwenzangu nikutie kichaaa😁😁😁
2026-08-31 18:38:05
0
Zakia Ahmada :
bola nizeeke tuuu lakini matala aka
2026-08-31 09:37:43
0
tyfer :
ingia wewe dear uonee moto unaowakaa😂
2026-08-30 21:48:27
1
Muna🇸🇴🇰🇪 :
Mjichanganye kabisa married men si Ni wale wanachezea Wanawake huku nje mpk wanawachezea divorced women Ewe Mwenyezi Mungu aniepushe Na wao kabisa 🤲