@kmd.ngarenaro.choir: Bwana Alitutendea Sasa unapatikana YouTube kwenye Channel yetu #bwanaalitutendea #catholicchoir #tiktokkenya🇰🇪 #viralvideo #trendingvideo

Kmd Ngarenaro Choir
Kmd Ngarenaro Choir
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 11:13:22 GMT
687
92
31
5

Music

Download

Comments

denispaschal61
re cute :
Hongeren san utume
2026-08-30 12:39:48
1
lovloly14
lovloly :
Bwana azidi kututendea mambo makuu
2026-08-30 14:43:25
2
sainecha34
Sainecha :
Bwana ametutendea mambo makuu🥰
2026-08-30 15:14:00
2
yvonnejocelyn
vonney :
Bwana alitutendea mambo makuu....Mungu ni mwaminifu na wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana 🥰
2026-08-30 17:26:35
3
prettymaki06
tc.marry :
Hakika mungu ni mwema🙏
2026-08-30 13:07:43
1
user8355908105626
theresia :
Naona kweli Mungu Amenitendea Mambo Makuu🙏🙏🙏
2026-08-30 14:01:53
1
vicentmkatoliki
VICENT MKATOLIKI 🎶 :
usiangalie Tabasamu langu pekee nyuma yake kuna ushuhuda mkubwa🙏🙏🙏
2026-08-30 12:01:32
1
gloriamutebwa2
GM² :
Bwana alitutendea mambo makuu nasi tulikuwa tukifurahi 🙏🙏🥰
2026-08-30 12:28:47
1
jacklinenkoboi
Jayzeey :
Kila hatua Katika maisha ingekuwa inabaki ilivyo au inadumu maisha yote,,hakika tusingeweza kufurahi,,, lakini Bwana Mungu aliweka nyakati za furaha na huzuni,,ili kuruhusu unapoumia ,unalia, unakata tamaa, yeye anakuletea kicheko baada ya Kila kitu,, ndo maana unaweza ukawa na matatizo,shida lakini ukawa na tabasamu au furaha na maisha hayo,,, kwasababu wajua BWANA HUTENDA NA BWANA ALITUTENDEA HAKIKA BWANA ATATUTENDEA TUZIDI KUFURAHI.. Hongera mtunzi wa wimbo kwa mpangilio wa maneno yenye ujumbe wa hisia,, Hongereni wanakwaya sauti nzuri na uhalisia wa matukio mmeweza na mmeweza tena, Na Bwana akazidi kuwatendea zaidi na Zaid@Kmd Ngarenaro Choir @georgemosha12 @GM² @Omary Yunusi @VICENT MKATOLIKI 🎶@vonney na wengine Wote.
2026-08-30 17:53:45
5
kmdchunya
Kmd-voice :
🔥🔥🔥
2026-08-30 13:16:00
1
fravy22
fraviia :
🔥
2026-08-30 12:10:46
1
cpa_nkilila
CPA_nkilila :
🥰
2026-08-30 11:57:43
1
user8355908105626
theresia :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-30 13:55:05
0
robertpeter102
Sir. robert peter :
🔥🔥
2026-08-31 06:58:17
1
To see more videos from user @kmd.ngarenaro.choir, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About