@kikwaru206:

mporii
mporii
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 11:20:32 GMT
18788
376
20
42

Music

Download

Comments

mohammad.ibrahim5091
Mohammad Ibrahim :
Hili si jambo la kufumbia macho wala halitaki mzaha, linatakiwa lichukuluwe hatua kali za sheria haraka iwezekanavyo🥺🥺🥺
2026-08-30 13:44:39
3
muhammadothman469
Muhammad Othman :
mbn waoo hawajbeb
2026-08-30 13:38:20
0
mr.shalo.fundi
Mr.Shalo FASHION :
sijapendaaa
2026-08-30 13:14:13
2
shaabanmpemba
Shaaban Mpemba :
kuna watu wapuuzi sana duniani
2026-08-30 14:30:58
0
nassor.ali28
Nassor Ali :
subhanallah mnafanya jambo baya sana
2026-08-30 14:23:26
0
user9099285463204
mudasir ahmad :
àaa ili enda ou😂
2026-08-30 13:00:10
1
othman22720
Othman :
tuacheni tena kutesa wanyama nao pia ni viumbe hao
2026-08-30 13:32:17
0
user24923850683462
user24923850683462 :
wahusika wako wapi?
2026-08-30 13:33:16
0
shalulile45
shalulile :
haki ya wanyama iko wap
2026-08-30 13:38:12
0
amerhajiji0
FOCALISTIC@ZANZIBAR-TRAVEL :
hasemi ilaa mulichoo fany so kitendo kizury kwa mnyama 😮‍💨😮‍💨😮‍💨😪
2026-08-30 13:11:12
2
ayoubkhatibu
MBUYU :
mwendesha Honda hajavaa helmet anatumiwa ujumbe wa faini na akalipe sasa haki ya wanyama mbona kimya au hapana maslahi ya pesa😭😭😭😭😭😭
2026-08-30 14:40:54
0
user6140784845370
user6140784845370 :
mimi naju nimtu atabeba kumbe munamtesa myama
2026-08-30 14:01:42
0
alikhatib8363
FM:MKONGO :
kwakweli huyu kamaa hana huruma na myama ambae anamsaidia kwa maisha yake.inafa ashtakiwe kwa kumzulumu myama na ukatili mkubwa. alafua wengine wanafurahia.
2026-08-30 13:31:32
0
user24923850683462
user24923850683462 :
hapa ni haki za wanyama zinakiukwa
2026-08-30 13:32:05
0
figo3177
figo :
wanamdhlilisha tu mnyama wangebeba wenyewe km ni sawaaa
2026-08-30 14:02:50
0
issaalice2
issaalice2 :
Muogopeni Allah nyie watu
2026-08-30 13:31:05
0
moi.iddi
Moi Iddi :
Hii hali haipaswi kufumbiwa macho huu ni udhalilishaji wa wanyama uliokithiri hatua za kisheria zinastahili kw waliofanya huu ukatili
2026-08-30 13:20:51
0
mannaladam
Mannal Adam :
kumba yupo😆😆
2026-08-30 13:07:52
0
mohammednassor275
Mohammed Nassor :
Ivi hii Serikali ya Zmz Haioni Dhulma hii kwa Wanyama Hawa WANAO MILIKIWA NA WENDA WAZIMU HAWA ???
2026-08-30 14:09:29
1
homaa3594
Homaa :
😳😳😳
2026-08-30 12:55:12
0
To see more videos from user @kikwaru206, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About