@masjid.khalil: Ndoa haifichwi!!! #islam #ibadhi #ndoa #fyp

Masjid Khalil Magomeni
Masjid Khalil Magomeni
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 11:30:59 GMT
11850
475
18
141

Music

Download

Comments

tumah051
فاطمة جابي :
Waponze wenzio🤣🤣🤣
2026-08-30 12:51:44
6
shaymaa.mima
Shaymaa mima :
Mmmmh mke asiambiwe jmn ajue mm nikishaolewa😅😅😅
2026-08-31 07:54:38
2
sakumabdallahbro
THE IRGC NAVY :
2026-08-30 13:29:19
0
juma.jemz8
juma jemz 🇹🇿 :
watu wengine wanakwenda kutia fitina
2026-08-31 03:13:49
0
hamad.bakari81
Hamad Bakari :
swadakta
2026-08-31 06:34:25
0
zahorsaleh3
zahorsaleh3 :
Siri ni MTU mmoja wakishazidi wawili Sio Siri tenaaa 🤣🤣
2026-08-30 21:01:26
1
abuhureira.kuno
Abuhureira Kuno :
assalamu aleikum sheikh minfadhlik fanya research kabla haujaeleza masala kama haya kwa mitandao.
2026-08-31 11:04:33
0
leylaaseif1
💕🦋Ukhty lela💕🦋 :
tatizo hawahudumii nyumaba za kwanza hakuna kula kwa watoto..hawana mavazi si si shule si chuo.. si mke haeleweki ndo mungu anataka hivyo kweli
2026-08-31 06:40:36
1
sashashaom637
sashashaom4 :
wala hawapozi ndio hakuna kuificha ukificha jua huna uafilifu na unapata dhambi alie owa na kuolewa km huwez kaa na mke m1 tu.
2026-08-30 18:13:35
2
coastalqueen931
Coastal Queen :
kama Hamna dharura sheikh mwenyewe kaowa Tu kwamatamanio,.roho imetamani lakini Hana shida yyte..jee ?
2026-08-30 18:51:09
0
To see more videos from user @masjid.khalil, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About