@nduvastudios: Replying to @Bby Ney❤️ JOELI kapokonya Asilimia 50 ya mazao kutoka kwa wananchi wake ingali mazao yalikua machache na huku FAMILIA za wanachi zinateseka MAPACHA WA MFALME Ep 10 full ipo YouTube #mapachawamfalme #nduvastudios #artificalintelligence