simple is click dat pattern of Authenticity you alone know what feels like being yo just perfect ze way u're u hold the key๐never late never early ๐ณ
2026-08-30 13:19:45
0
honey :
Taile, maneno hayo, thanks for sharing ๐ฅฐ
2026-08-30 20:45:42
0
@Yusra Mussa :
well said my role modal๐ฅฐ
2026-08-30 16:21:49
0
Mom wa gg๐ :
well said dada rahma๐
2026-08-30 12:49:18
0
babe mama๐๐๐ :
๐ฅฐlov u too much ๐๐
2026-08-30 14:56:53
0
Aries โ๏ธ girl :
Good point my sister โ๐ฟ๐๐พ
2026-08-30 13:06:54
1
Jackline Massawe :
Jamani sijui kwanini mtyu akija kwenye maisha yangu nikimuona simuelewi nipiga chini ๐โ๏ธ
2026-08-30 12:02:29
16
mama odina :
dada asante sn umenifunza kitu kikubwa ukanikumbusha niliyopitia asante sn Mungu akubariki mno
2026-08-30 14:39:03
6
Neema Sanga :
ndo level niliyofikia baada ya kuanza kumfuatilia Rahma ๐คฃ๐คฃ
2026-08-30 12:13:54
4
user4856635079359 :
nimependa nywele yako dada Kwa kweli inavutia mno wallwahi nimependa Sana wallwahi
2026-08-30 17:40:38
2
I'm first born ๐ผ๐ฆ :
thanks you da Rahma uzidi kubarikiwa na mwenyezi unatufundisha sana watu wako', unatumia muda, AKILI kubwa, nakufatilia sana.
2026-08-30 13:00:26
2
๐งโโ๏ธ :
ahhh dada unajua kutufunza kwa namna tofaut tofaut, jazakallah kher
ila kile kicheko pale kwenye ndiz jaman๐
2026-08-30 12:15:10
5
Kakele :
kweli kabisaa ukimsikiliza huyu dada bila wivu na chuki aisee anaongea point mnoo
2026-08-30 15:09:40
2
mrs lion :
Rahma hicho kijora kipo dukani nakitaka
2026-08-30 12:53:34
1
hadijayusuf1 :
akiri kubwa๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-08-30 19:50:27
0
JZ :
unafuraha mungu adumishe furaha yako dear๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-08-30 12:46:22
2
user7227272575316 :
kwa kweli
2026-08-30 20:18:33
0
hajraah :
true dear
2026-08-30 17:31:52
0
king ๐ :
me nakuelew ๐ฏ๐ฅ...
2026-08-30 18:45:21
0
. :
dada unaongea ukweli kabisa
2026-08-30 18:46:06
1
Fatma mwanakombo :
Asante sana kwa ujumbe mzuri sana
2026-08-30 21:18:46
0
binticomando :
kweli kabisa
2026-08-30 20:49:25
0
neemadavid170 :
True
2026-08-30 19:27:23
0
Jesca Trends๐๐ :
tunajifunza kupitia wewe,,ubarikiwe๐ฅฐ
2026-08-30 19:25:44
0
shazy๐ฅฐ๐น :
kweli kabisa
2026-08-30 21:20:03
0
To see more videos from user @rahma_daudofficial, please go to the Tikwm
homepage.