ZNZ wallah ni mmoja hongeren sn mtafika mbele ya rais Samia inshallah
2026-08-31 20:49:01
1
🌟Maggie✨🇹🇿🇰🇪 :
nimeipenda hiyo weeee
2026-08-31 08:23:02
0
mommy alveen :
rasam 🥰🥰🥰
2026-09-02 08:41:37
0
Dullah bin rwambo🪴🌴 :
mimi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-09-01 19:33:58
0
ray_raiyan :
nawapenda🥰
2026-09-01 21:11:53
0
saumu Rashid :
mashaallah
2026-08-30 16:17:09
0
bint msellem :
Km ni Kate wa Michele nausubiri😜😜😏😏😏💞
2026-08-30 14:09:26
0
Kimoda254 :
kweli
2026-08-30 17:36:44
0
Palestine :
dakika za jioni bibi anaingia ktk makosa...
2026-08-31 07:20:26
3
Lukman breezy :
Icho kibibi kimekaza sana 🥰
2026-08-31 10:09:46
0
Abdallah kiduda :
asaiv kuna bibi wa wahenga nn
maana @mama wahenga @Mama WahenGa✨ tunae
2026-08-30 12:08:46
4
asha naa :
🥰🥰🥰
2026-09-01 08:35:37
0
ibrami official :
😁🥰
2026-08-30 15:03:22
0
Muhammad Selemani🙏 :
😁
2026-09-01 04:15:13
0
To see more videos from user @rasam_4, please go to the Tikwm
homepage.