@vema_fact: #mwangaza💡 #maishayakweli🖊️ #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #vemafact #foryoupage

Vema Fact
Vema Fact
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 12:17:11 GMT
77252
6174
42
50

Music

Download

Comments

rosenadanda
Rosena Danda :
hii kitu huwezi elewa kama hujawah pitia aisee 😭😭 ee mungu mlaze mahala pema baba salha wng 🤲
2026-08-31 21:25:16
44
emeldakandege
Emelda Kandege :
pole
2026-09-01 20:02:59
0
angel.baby0105
Angel baby :
Kwa kwel tunaelewa so uongo kbs yani🥲😭
2026-09-01 20:13:29
0
naphenacolletion
phemmyvitambaa :
😭😭Acha tu maumivu ninayoyapitia ni makal kuona mtoto wangu amekuwa bila ya kuita jina la baba uwa naumia sana mwanangu amemjua baba ake kwenye picha mwenyewe amechukua picha ya baba ake ameweka kwenye beg lake la shule anatembea nayo😭😭
2026-09-01 05:36:02
1
lonley.wa.rms
Lonley OG cancergang :
mm nna watoto wawili mama yao hataki ata kupokea cm zangu kisa tu tumegombana mm na yy basi sina nafasi ya ata ya kuongea na wanangu ata huduma zangu hawapati na siambiwi chombo na ukweni siwezi kufika saiv kwaio siwaoni wanangu
2026-09-01 08:18:26
1
witness0817
Witness :
baba yupo lakini kama huyo hana msaada wowote na hataki hata kumuona
2026-09-01 08:41:45
0
katushabe5215
katushabe :
kweli kama mi navoumia mwanangu ila nampenda na nitapambana Kwa ajili ya mwanangu
2026-09-01 06:04:44
1
amaira5444
amaira5444 :
Nitalea peke yanguuuu ! Father’s Day naenda mie Mother’s Day Naenda mie mwanagu nimembeba tumboni miezi tisa na sasa nambeba mgongoni miaka tisaini nipo nae mpaka kufa … Naweza na Mungu ataniwezesha kama alivyonipa
2026-09-01 07:22:06
3
asha.ramadhan58
Mrs Msomi♥️♥️♥️♥️ :
nikweli kabisa 🥰🥰🥰
2026-09-01 12:32:38
0
maman.des.plusieur5
mardoche mum :
iyo inauma sana kabisa
2026-09-01 14:49:59
0
josphine.bonve
Joséphine bonve :
pole sana
2026-09-01 14:30:01
0
aishajuma2715
Aisha Juma :
por usi waz San
2026-08-31 19:44:18
1
user7424694550156
user7424694550156 :
pol mamy
2026-08-31 19:57:59
1
hidayamselem
my dear :
mm ata sijal wala simtafut
2026-09-01 10:00:05
0
stamili.mrisho
Stamili Mrisho :
pole
2026-08-31 09:48:13
1
user13810874731876
@farida :
ni kwl kabisaa ila sisi wengine baba wa mtoto wangu yuko hai ila duuh nikama tu hayupo kwakwel😏😏
2026-09-01 05:44:35
2
azdahatun
azdahatun :
pole kpnz..... inakubidi we ndo upambane ili kuepusha hiyo hali impate pale aonapo wenzao
2026-08-31 18:05:02
1
user685767379
rehema :
mbona mimi sijawah wasa hilo kumbe lina muhimu
2026-09-01 09:39:55
0
aishabakari014
aishabakari014 :
bola yako apokei cm iposiku wataonanatu kuliko tulio ondokewa na baba tukiwa wadogo sna usiombe likukute anachongea mm ninakilitia
2026-09-01 16:23:42
0
georgenjaromollel0
George Njaro Mollel :
😁😁😁
2026-08-31 03:26:00
1
chimammy613
chimammy❤️ :
😳😳😳
2026-08-31 22:30:53
0
rgina094
Régina kitenge ❣️ :
🥰🥰🥰
2026-09-01 14:44:54
0
baila2294
baila :
😭😭😭
2026-09-01 15:30:01
0
mrshamza841
Kisali Sarah Ollga🇨🇩 :
😭😭😭🥺
2026-09-01 06:24:49
0
To see more videos from user @vema_fact, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About