@5star_newstz: Bilionea na mwekezaji wa teknolojia kutoka Marekani, Tim Draper, ametangaza kuuza kisiwa chake kilichopo katika Ziwa Tanganyika, Tanzania, kwa bei ya dola milioni 7.9 za Marekani, au ofa yoyote inayoweza kujadiliwa. Kupitia ujumbe wake, Draper amesema kisiwa hicho ni eneo zuri sana, lakini wamekuwa hawakitumii mara kwa mara, hivyo wameamua kukiuza. Wanaovutiwa na ununuzi wa kisiwa hicho wameelekezwa kuwasiliana naye moja kwa moja kupitia barua pepe [email protected]. #updates #5starNewstz

5star NewsTz
5star NewsTz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 12:29:01 GMT
27770
371
38
17

Music

Download

Comments

moochturnertraore
bE la Roooooo... i💎 :
I'm a Tanzanian 🇹🇿 🇹🇿 the island is NOT FOR SALE☹️
2026-08-30 15:16:36
3
ndileshoppingcenter
NDILE SHOPPING CENTER :
analipa namba??
2026-08-30 15:55:34
1
jorammapela
joram@ :
upotoshaji huanza hivi hivi, jiulize inakuwaje mtu ananunua kisiwa tena ndani ya TZ
2026-08-30 14:14:38
6
lemali.lemoingoni
Lemali Mollel :
Tanzania inawapatu bila mkataba paka mtu anatangaza kuuza kiziwa xawa au bac mmmmmmm
2026-08-30 14:51:02
3
alison.goriech
Goriech gypsum decor&paints :
tukisem nchi inauzwq kun vilaza wa ccm wanabisha
2026-08-30 15:52:49
1
dickinson822
Dickinson :
aliuziwa nanani,??? mamaee
2026-08-30 14:23:22
1
ggboy.official5
GG boy@tz👑 :
nitumie no yake tafadhar nikichukue halaka sana ✍️
2026-08-30 15:07:30
1
engineer.matau
MATAU ELECTRICAL SERVICES :
Kilakitu kinauzika pesa ikitosha…
2026-08-30 16:10:11
0
ghazzybhabha047
💫GhazzyBhabha💫 :
How mali ya Tz inauzwa na Serikali Hamsemi yani inshort wenda hata Me and Ue tuxhauzwa na hatjuii😭😭
2026-08-30 15:51:55
0
queenma750
Pretty :
uweee
2026-08-30 15:40:05
0
savagesavage24
ṢAVAG£. :
eeh kumbe tunavisiwa sio vyetu ap nchini?😳
2026-08-30 14:25:19
0
josephlogolie
JOSEPH LOGOLIE :
mzungu ?
2026-08-30 15:00:09
0
tongo48
the universe :
inawezekana ndio aliyoyasemaga ndugai kuwa kuna siku nchi itapigwa mnada sasa imekuaje mtu anauza kiswa ina maan na yeye auliuziwa au mm ndio sielew wakuu
2026-08-30 15:51:22
0
baba.anna2
baba anna :
duuu kumbe tumeuzwa na hatujui
2026-08-30 14:48:07
0
b.charter2
B charter :
ya wap iyo
2026-08-30 14:20:00
0
johnpo633
msham :
nakihitaji mimi nilipe niikrudishe kiwe mali ya Tanzania 🇹🇿
2026-08-30 14:52:28
0
khaledmhina
khaledmhina :
KAUZIWA NA NANI.
2026-08-30 14:13:04
0
kipepeomontez
Ruthie montez :
Mtihani kwa kweli
2026-08-30 16:10:25
0
ally_mswahili
Ally_Ally :
hivi kisiwa kinakuaje mali ya mtu na anakiuza nielewesheni
2026-08-30 13:58:29
0
tinnysix6
Tinny six :
Tuunze na cha Zanzibar.
2026-08-30 15:30:51
0
rey.q25
Rey Q2 :
Kwan wazungu kumbee Badoo awajaacha kututawalaa
2026-08-30 14:19:16
0
phanmhando
Mhando74 :
alikipewa na nani nayeye sio mtanzania da pp nishushe
2026-08-30 15:04:39
0
s_finetz
S_fine Tz :
iyo nayo pwenti
2026-08-30 15:18:23
0
simbawachama
chama wa simba :
kesho watanzani wanauzwa kwa Bei ya jioni kabisa mjipange mm nitakuwa dalali wa Hilo jambo
2026-08-30 15:30:48
0
To see more videos from user @5star_newstz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About