@nijuzenews: ACT Wazalendo: ‘Bandari kavu zina mizizi kwa wafadhili wa CCM na vigogo wa Serikali’ Waziri Kivuli wa Ujenzi, Miundombinu na Uchukuzi kutoka ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameyasema haya leo Agosti 30, 2026, kupitia mkutano na vyombo vya habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho, Dar es Salaam. Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>>‎ https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u

Nijuze
Nijuze
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 12:41:04 GMT
39932
1350
91
161

Music

Download

Comments

bitcoinlocker
Bit locker :
its funny people can donate 4billion for campaign instead of education 🤣🤣
2026-08-30 21:35:01
2
user9595007533090
BEA SIMBA :
in god we trust 💯💪🙏
2026-08-30 17:44:01
0
mhanga59
mhanga :
but why Tanzania
2026-08-30 17:41:36
0
yonakilabuka3
yonakilabuka :
nyie Act nivibaraka wa CCM. mnatuletea fujo tu
2026-08-30 14:23:26
14
johnntandu36
John Ntandu36 :
gsm n kikwete na ndio rais wenu
2026-08-30 15:02:32
5
wachimbaji_visima1
WACHIMBAJI VISIMA TANZANIA✅ :
icd iko.mbagala keko tabata
2026-08-30 19:48:08
1
sekilanga.ketho
Sekilanga Ketho :
BILA CCM KUONDOKA MADARAKANI NA WATANZANIA KUJITAMBUA KWAMBA HAWA VIONGOZI NDIO CHANZO CHA MATATIZO TUNA SHIDA MNO.
2026-08-30 16:18:08
6
cosmas.maganga
Cosmas Maganga :
CCM ya Mwalimu kilikuwa ni Chama cha wakulima na wafanyakazi, lakini kwa sasa hivi CCM ni chama Viongozi na Matajiri wachache na ndiyo wanaomiliki uchumi wa Nchi yetu.
2026-08-31 06:29:50
1
jumbemasiko
jumbemasiko :
tuna bandari kavu kwala tena kubwa sana kwa nini hawaendi
2026-08-30 14:21:33
3
abdallah25171
Abdallah :
Chalamila kakimbilia mabasi kwa sababu Mheshimiwa Shabibi alizungumzia hizi bandari kavu ziko mpaka kwenye makazi ya watu,wenye ICD ni wengi na wana nguvu ndio wamemkomowa,mabasi kuondolewa Shekilango,sasa haumii Shabibi tunao umia ni sisi wananchi
2026-08-30 16:14:55
2
blackmilla94
black milla :
GSM Aneiendesha atakavo serikali ya Samia
2026-08-30 14:43:21
2
user5024751947177
user5024751947177 :
Salute
2026-08-31 09:24:58
0
_soso_3425
Soso :
Tukisema tu ukweli,,,Tanzania hatutachomoka hapa tulipo. Hapa ndo tumefika na hapa ndo tutabaki daima. Sio Tz tu, na Africa nzima..hatuwezi kuendelea, hatuwezi, hatuwezi kamwe.
2026-08-31 07:39:42
0
user88593559995413
B.St@n :
Msema kweli ni kipenz cha Mungu
2026-08-30 15:38:23
2
abdullahqassim1
BEACH BOY :
mzee wangu upo makini sana
2026-08-30 14:10:37
1
kifaru.786
Kifaru.786 :
Watu wakiwekeza mnalalamiks, maendeleo mkiyataka funge I maskio piga kazi
2026-08-30 14:43:22
0
dramourkato
PACIENTE TRADING :
🤣🤣🤣🤣🤣 Aya bana sa itakuaje
2026-08-31 06:36:33
0
salumnassor210
salumnassor210 :
Nishamjua😀😀😀
2026-08-30 13:19:39
1
123mayaikingoflove
KING OF LOVE :
tutaongea lugha moja siku sio nyingii.. asante mungu kwa ukweli huuu
2026-08-30 14:08:41
1
hiphopnext
Hiphopnext :
Yaani kuisema ccm imekuwa nikufa!!Kumbe watanzania wote wanahofu yakuuwawa na ccm tu?Hii imekaaje kwa watanzania?Kweli tusipo kuwa wakweli Nchi na vizazi vyake vitapotea kwa kuuwawa tu.Hivi ni visasasi na chuki.Watu wakianza kulipizana Nchi hii itakuwa masikini sana.
2026-08-31 05:34:50
0
seif.kabelele
Seif Kabelele :
SAFI
2026-08-31 09:38:43
0
aroneymar.jr2
aroneymar jr :
kwel bro vijana wengi ccm hatuitak kabisa hta kuisikia
2026-08-31 09:59:26
0
richkutiliboma945
rich rich Qs :
ukweli mtupu
2026-08-31 05:36:37
0
damianlaurent44
Dmark :
@:akili ya mpango na ifanyiwe kazi
2026-08-31 06:04:32
0
samtom970
Samtom :
Sahih kabisa
2026-08-30 13:30:33
1
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About