hii gari inaenda kila sehemu ubaruku rujewa igurusi chimala mpk masasi😂😂😂
2026-08-31 06:23:33
1
It's semedo :
hela ya chipsi iyoo imaa unachanganya mada😂😂😂
2026-08-30 18:24:22
5
Story_Time🥰 :
hiii gari inaenda kila sehemu😂😂😂
2026-08-31 04:17:58
1
musa :
🤣🤣🤣🤣🤣 vizri famiria
2026-08-30 16:56:28
3
Bigush Andreymy(Usher) :
ila nawapenda sana ninyi
2026-08-30 19:43:37
3
Travo :
😅😅 nani amemsikia vizuri Mac legan
2026-08-30 18:28:12
2
chafupoz :
Mzee alisahau kama alisongesha😂
2026-08-30 22:00:50
1
Official Toto Tyner :
🥰🥰🥰
2026-08-30 14:04:04
1
mkuzi96 :
😂😂😂😂😁timu nzima iko ndani😂😁😁😁
2026-08-31 07:37:37
0
Yanga james :
we ndo ukumbuke vzr🤣🤣🤣😄😄😄
2026-08-31 08:14:07
0
chriskalega :
Deni la chips unakata kwenye daladala🤣🤣🤣Ima
2026-08-30 21:53:29
1
Seif Jumanne :
Wazee wapo kazini mmeuwaaa
2026-08-31 05:04:34
0
Jimm¥ jeez¥900 :
NAFANYA KAZI KWENYE HIZO
2026-08-31 06:15:56
0
King Ismail :
“Oya ana mdomo simlipii tena” 😂
2026-08-31 04:29:59
0
John Yohane :
😂😂
2026-08-31 00:05:19
0
Jimmy picha mbao :
dah😁
2026-08-30 20:47:32
0
jeremia mwasomola :
mbeya moja iyo kama.sijasikia au lak 3
2026-08-31 08:39:15
0
user8171505539933 :
ila mama imaa😂😂😂😂
2026-08-31 07:56:05
0
kaka :
🤣🤣tumemalizana
2026-08-31 09:05:41
0
HOUSE OF EVE :
kama najiona wa chimala😂😂😂
2026-08-30 20:34:05
0
festusemmanuel :
Nani anamsikiliza vizur mpoki😅
1. Mwambie Dereva Tairi ya nyuma Ina Nundu
2. Acha kelele kama unagombea mume
3. Wakati wew unaenda hospitali kumwona mgonjwa me naenda monchwali kuchukua maiti
2026-08-31 06:48:38
0
TheLesserKEys333✅ :
eti simlipii tena ana mdomo sana 😂
2026-08-30 13:56:58
3
Emmanweli Mgallah :
majina ya kina ima Kila cku tunaletewa mpya embu ona na hii au me nibadili2 jina? Yaani mtu anaenda kumuona mgonjwa afu ww unamkata kwenye deni la chps afu ni deni la miaka miwili nyuma😂😂 hili Jina halifai kuendelea kuwapa watoto wetu😅
2026-08-30 20:17:18
0
To see more videos from user @original_comedy2, please go to the Tikwm
homepage.