me n davoo naendesha gari ila nilianza na bike ila machali wa toyo samtime mnafell pakubwa sana achen ishabiki wa kuhukumu kama mtu kafanya kosa sheria zipo ila cyo kumpiga davoo madavoo n binadamu kama nyie na hakuna davoo aliyeko road ili kugonga watu samtime inatokeaga bahat mbaya ajali ata nyie matoyo mara ngapi mumekuwa mukigonga watembea kwa miguu ad wanafunzi aya sasa ushabik aliyegongwa pengune ata humjui ila hiii laana ya kupiga madereva na kuchoma magari asee madereva toyo mutakuwa munakifa kila cku kwa sababu ya laana za watu munaowahukumu dereva mwenzangu epuka sana ushabiki wa kupiga watu au kuchoma magari ya watu wengi wamekufa hii n tz makabila 220 kila kabila liko na asili yake mwenye akili atanielewa