@badawiy.media: Ipo haja ya kusomesha Ummah kuhusu maulid - Kwani hawa mawahabi wamekuwa wakiwapa uongo na kuwafunga funga watu ili wasiwe ni wenye kumpenda mtume na kumswalia Hizi darasa zitawafungua maskio watu wenye akili timamu ataelewa tu #millionviews #fyp #trending #foryoupage #tiktok