MUNGU NIWAKUOGOPWA SANA, AKIAMUA KUTUFUTA KWENYE USO WA DUNIA NI SEKUNDE. KUNA WAKATI UNAONA UBAYA UKO MBALI SANA NA WEWE, UKIWAZA KUFA UNAONA SIO RAHISI MAANA HUNA HISTORIA YA MAGONJWA WALA DALILI, KILA JAMBO LINAENDA KAMA UNAVYOTAKA... DUNIA UNAIONA TAMU,UNALALA UNAAMKA MAISHA YANAENDELEA....
KUMBE MUNGU ANATWANGALIA TU, AMERUHUSU MEMA YATUPATE MPAKA TUNASAHAU KUNA MUNGU MBINGUNI ANAYEKOTRO KILA KITU🙇🙇🙇🙇😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-31 09:25:52
20
marygwisu :
eeh Mungu tusamehe turehemu Mungu wangu atujui tutendalo tuokoe na majanga haya
2026-08-31 10:49:59
6
Ruth.ruth :
mungu nipe mwisho muzuri kuliko mwanzo🙏
2026-08-31 11:29:30
5
Is me lily214 :
mungu naomba tupatie mwisho mwema🙏
2026-08-31 10:35:00
5
Pr. Magezi Bwanayambo Steven :
wengi wanasema Mungu awasamehe, nazani hiyo si dawa alakini unaitwa kupokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako na kuachana na njia mbaya Ili ufike kwa baba ukiwa safi 🙏
2026-08-31 06:11:38
16
Dicks G A :
Mungu simama mwenyewe baba yangu
2026-08-31 08:38:09
5
Khadija Narisi :
Innalilahi waina ilaihi rajiuna Allah Akbar.
2026-08-31 11:10:08
1
rukundo_odette :
😭😭😭😭😭😭 ahsante mungu kwakunipa uhai mpaka sasa
2026-08-31 11:37:44
1
Joice Salum :
emungu tupemisho mwema
2026-08-31 09:27:46
1
winifrida bruno :
eee mungu uwasaidie
2026-08-31 09:00:23
1
Alick :
Pole sana
2026-08-31 09:07:30
1
nyemokalebi906 :
mungu onekana baba okoa watu wako
2026-08-31 10:17:38
1
noria :
zhahahahah
2026-08-31 09:16:41
1
user1026787774180 :
Eeeeee bwana nipemwisho wema baba🙏🙏
2026-08-31 07:43:51
1
Joyce jose :
pole sana
2026-08-31 09:20:21
1
user41821712618508 :
simama mwenyewe baba bila wewe hatuwezi chochote
2026-08-31 09:58:22
3
Clementine Linda :
mungu turehemu baba 🙏🙏🙏😭😭😭
2026-08-31 10:00:24
1
To see more videos from user @fammedevision, please go to the Tikwm
homepage.