@thehijabyjournalist:

TheHijabyjournalist
TheHijabyjournalist
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 30 August 2026 13:52:39 GMT
110779
9536
254
1136

Music

Download

Comments

alex.richard9438
Dr. Ashraf Ramzy Al Ginawy :
Nasiha Usikubali kuishi na mume kama huyo. Kama una namna ya kumregeshea mahari yake na kuachishwa just do it. Viko vitu vya kusubiria lakini mengine ni idhilali. Sometimes divorce is the ONLY solution. Usiwe na wasiwasi wa rizki yako. ALLAH asema WA INN YATAFARRAQA YIGHNI KULLAN MIN SAATIH. WAKITENGANA KILA MMOJA ALLAH ATAMPA KATIKA YALIKO KWAKE YAANI RIZKI
2026-08-30 18:11:16
117
azizanahigombere
Ayaan :
,😭😭😭😭namimi asiniziki
2026-08-30 15:10:12
9
ruwaishaabdi
Ruwaisha :
Mm pia nilitamka Ivo kipindi nipo kwangu, Alhamdulillah nilitoka Salama n sitaki kumuona Maisha yngu yote
2026-08-30 18:42:11
54
sagittariusqueen511
Sagittarius Queen♐️ :
Wallahy unaweza kumchukia mwanaume ukajutia ata kukutana nae apa duniani
2026-08-31 03:21:11
70
alhudda_hijama
alhudda_hijama :
SubhnaAllah alot of ladies are going through alot wallahi men they don’t take care of them 😭
2026-08-31 02:11:46
32
kijj684
Samia Kasongo🧐 :
wanawake wengi wateseka kwenye ndoa ila mtu atakwambia yuavumilia kwavumiliwani basi ndugu
2026-08-31 10:34:07
28
teammiss001
🌐💙 Yasmin 🥰🥰🥰 💙🌐 :
wanawake wapitia I know one who asked for a divorce while sick na family yake ilipouliza mbona akasema hayuko radhi kuliliwa,kuzikwa wala kuvishwa nguo yake ya mwisho na mume wake,na hapo ujue 7years kwa ndoa hakuwahi kujulisha family yake kama anapitia mateso gani kwa ndoa
2026-08-31 02:37:01
8
user7463110218138
hureim hayat :
hiiki kisa kimenitoa machozi,😭😭 ya Allah tupe subra kwenye ndoa zetu
2026-08-30 15:57:50
46
hiluu_fashion
shop_with _ruwaatif. :
kweli kbsa inauma sana
2026-08-30 14:33:22
18
healthwithnipher
Md. HanifaSuleiman :
Mungu awape wepesi wote wanaopitia haya🤲🏻 kutowahimiza waume kuishi vizuri na kuwaheshimu wake zao katika mawaidha, nasaha/mafunzo ya ndoa na malezi (kama wanavyohimizwa wanawake) pia vinachangangia waume wengi kua hivi kwa wake zao💔
2026-08-30 18:39:11
7
ottoman148
ottoman148 :
kwanini mungu yuasamehe dhambi zote, sisi binadam mbona tujiamulie mambo
2026-08-31 06:05:48
1
www.tiktok.comdearqueen
Queen off the South :
wallah waishi vzri na wake zao mwanamke anabeba mengi Allah atupe furaha majumbani mwetu
2026-08-30 16:56:18
23
simplicity2544
Nelita Njoe :
maneno yangu hayo umeyataja kabisa
2026-10-06 11:54:48
1
aiyyana1994
Ahlam al-miskry 🦋 :
Subhanallah Allah atujalie mioyo yenye kusamehe
2026-08-31 21:04:48
8
placidiekayitesi
Placidie Kayitesi :
SubuhanAlllah
2026-09-02 14:08:04
1
zayhenna2
zayn Henna arts 🌷 :
subhanaallah 🥺
2026-08-31 07:57:05
2
babyange94
Sweet Angel 😇 :
wanake wengi Sana sasa hivi hawataki tena habari za wanaume
2026-09-01 11:51:32
1
docksgal001
🌺Minnah Sharz🌺 :
SubhannaAllah,Allah atujaalieni sothe mwisho mwema na awajaalie kaka zetu fursa ya kuishi na wake zao vzr Aamiin.
2026-08-30 23:26:41
5
hadija.sawa6
MRS M,H,B🥰🥰💋💋💋❤️ :
Alafu unakuta kuna mtu anakuambia rudi kwa mumeo uvumilie mimi nilishindwa nikajitoa kwa sababu ndoa yangu haikua na furaha hta kidogo😭😭
2026-08-31 16:41:40
4
babydanzy
🧿BABY D🪬 :
Mengi sumu 🤐 ila nilimwachia mungu 🤲
2026-08-31 09:38:10
4
yara_khai82621
khairun :
SubhanaAllah
2026-08-31 10:29:04
2
user1964889
user1964889 :
Waume hao wapo wingi Sanaa subhana Allah
2026-08-31 09:02:57
2
shamsa0920
RADHIA 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
Hii n mbaya aki inauma sana😭😭😭
2026-09-01 11:48:49
1
sisters.0012
Sister's 001 :
Mm siwezi ishi na mwanaume katili hata sekunde moja ningejiachisha tu au kumuondokea katika maisha yake.sijaletwa dunianii niteseke kiasi icho manyanyaso wakati kumbe naeza ishi mwenyewe nikapata amani.Tusilazimeshe mambo naamini rizki yangu ipo kwa Allah mpaka nitakapo fumba macho
2026-09-22 06:29:34
1
africaprincessdop
AfricanPrincess DopeGal :
SubhanaAllah 🥺🥺
2026-08-31 10:44:40
1
To see more videos from user @thehijabyjournalist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About