@pika.na.mimi: 🧀✨ CHEESE BALL — laini ndani, crispy nje! 😋🔥 Mahitaji: 🥣 Ngano — vikombe 2 🥛 Maziwa — nusu kikombe 🌸 Vanilla — kiasi 🍚 Sukari — kijiko 1 kikubwa 🥛 Maziwa ya unga — robo kikombe 🍞 Hamira — kijiko 1 🥄 Baking powder — nusu kijiko 🧂 Chumvi — kiasi 🧀 Cheese ya kufungia kati 🍜 Tambi — za kupaka juu Cheese ikiwa imejificha katikati, kila bite ni raha tupu! 😍🧀✨ Pika na Mimi 👩🏽🍳❤️
pika na mimi
Region: TZ
Sunday 30 August 2026 14:22:28 GMT
Music
Download
Comments
Miss faiz 🦋🌹 :
Ngoja nipike sasa
2026-08-30 16:13:48
0
Yunna Omary :
🥰🥰🥰
2026-08-30 15:13:36
0
Ashrey bosslady :
🥰🥰🥰
2026-08-30 14:51:51
0
Salhiya Mashallah :
@Khadija Hamad
2026-08-30 22:28:03
0
To see more videos from user @pika.na.mimi, please go to the Tikwm
homepage.