@jvckieseven: Mwaka 2003 mwishoni Papii kocha na baba yake nguza viking (babu seya) waliachia huu mkwaju uliosumbua sana mjini kisha miezi michache baadaye wakawa wameshtakiwa na kufungwa kifungo cha maisha jela kuanzia mwaka 2004- 2016 hadi pale magufuli alipowapa msamaha wafungwa wakiwemo na hawa wasanii, kiufupi hawajafaidi matunda ya huu wimbo wao uliokua hit balaa