@taramempiregarage: Oil isiyokuwa na viscosity/specification sahihi inaweza kuongeza friction ndani ya engine, kufanya engine ifanye kazi kwa nguvu zaidi na hivyo kuongeza matumizi ya fuel. Oil nzito sana, oil iliyochoka au oil iliyowekwa zaidi ya kiwango pia inaweza kuathiri performance ya engine. hakikisha unaweka oil recommend kwa Afya ya gari yako. #arushagarage #arushacarservices #arushacars