@diana1gb: Edwin Sifuna: Huyo Murkomen, atakuwa mtu wa kwanza tutafuta kazi katika serikali ya Linda mwananchi,#lindamwananchi #fypシ゚The #fyppppppppppppppppppppppp #fypシ゚The
DIANA1GB💪🙏❤️
Region: KE
Sunday 30 August 2026 15:17:55 GMT
Music
Download
Comments
jose :
sifuna the 6th,,, rules of law
2026-08-31 09:47:27
1
Rosemary🌹 :
very true our 6th president 🥰.
2026-08-31 11:38:41
0
Jimkin :
ataeda kama his predecessors
2026-08-31 08:40:38
0
OTAVIO 007 :
rutu ni two term penda usipende
2026-08-31 11:36:18
2
kamente sam :
ur dreaming
2026-08-31 09:44:09
0
Alcheru850 :
kulikuwa na Huyo matiangi,Saitoti,Ngaiseri ..........
2026-08-31 07:05:42
7
Gien ✅ :
sasa huyo anafanya nini 😂😂ukitaja Murkomen na Ruto unadhani Kura itajileta 😂😂Tafuta Sera na manifesto jameni
2026-08-31 09:09:55
6
Kosgeifelix :
over time nimerealise huyu jamaa hawezi tusaidia walai tunamuhype tu bure
2026-08-31 08:55:34
4
De Teacher :
Sifuna unajidanganya sana, unacheza na moto wewe
2026-08-31 11:22:54
0
makos :
umeanza kufuta watu kazi, na bado tuja ku employ😅
2026-08-31 11:43:23
1
Tîmôôkîm🔥🔥💪 :
man overhype Sifuna Sana.... adding to that mnamdanganya atapata Rais
2026-08-31 10:52:01
0
charity :
😅😅😅😅😅😅!🫣
2026-08-31 08:30:55
1
wao juniour wuod nyasakwa :
huyu naye hpn
2026-08-31 11:17:24
0
@ moon child :
ati hii ni sera yake
2026-08-31 09:39:21
0
master key 🗝️ arrorin :
lugha ya siasa hayo ,,ata ukipewa urais sai keshow utamwandika yy kazi
2026-08-31 10:05:48
0
🌟🇰🇪THE KENYAN CAPTAIN1🇰🇪 :
ati tutafuta kazi😅😅😅
2026-08-31 09:53:20
0
Hon Domii💓 :
unaongelesha magari😅
2026-08-31 09:46:10
0
kamente sam :
sasa io ndio sera yako... eti huyo murkomen uyu
2026-08-31 09:45:03
0
GRAM-HAM :
Na tutaeka yeye ndani
2026-08-30 16:15:56
2
arrorin254patriot :
hamuwezi murkomen
2026-08-31 08:44:53
1
Brayard Ogend :
Hiyo serikali utaunda Tu Kwa akili
2026-08-31 11:38:06
0
user NDESH#mwene :
😂😂 waluyah round hii tukipoteza chance hakuna wakati ingine,,kile kimebaki nikitafuta sera
2026-08-31 09:02:34
0
~the prodigy adan :
😂😂❤️
2026-08-30 17:38:45
1
user7591722019817 :
🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
2026-08-31 11:10:14
0
Erick Msodoki :
😂😂😂😂😂
2026-08-30 17:45:18
0
To see more videos from user @diana1gb, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.