eeh mwenyezimungu nilipie kwa kila alieniendea vibaya kwa shirki, kuniharibia, ww ndio hakimu wa haki,usie shindwa na jambo, allah ndio mwenye kufisha na kuhuisha, hakuna nguvu isipokua zake, hakuna mwenye uwezo wa kutoa alichokizuia, wala wa kuzuia alichokitoa
2026-09-02 19:11:46
7
latifa :
ya Allah nijalie afya njema mm na watoto wangu Kila ubaya nilio fanyiwa na nisio wajua na ninapo wajua waumbuke
ya allah nijaaliye afya njema mimi na watoto wangu kila ubaya niliofanyiwa na nisiowajua na ninapo wajua waumbuke
2026-09-01 03:15:49
3
Middo 45 real :
Amiin🙏
2026-08-31 09:51:34
2
Naah iddy :
amiin yarab amiin
2026-09-03 08:45:28
1
feith :
Kila ananifanyia ubaya usinifikie na nauzim Leo ubaya wote unaonifany nisiolew, nisiendelee na mambo yng..na Kila kitu ktk maisha y g Leo nauzima na umludie mwenyew🤲🤲🤲🤲..mimi na mtoto wng usitufikie
2026-09-02 19:33:05
3
miss_hot05 :
2026-08-31 17:45:35
1
H@bibty kh@ir :
YAA ALLAH HAKIKA WW NI MOLA WNGU MTUKUFU,NA MM NI MJA WAKO DHAIFU,SINA MWENGINE WAKUMTEGEMEA ISPOKUA NI WW,HAKIKA UNAYAJUA MINGI AMBAYO MM SIYAJUI,NAKUKABIDHI MAISHA YANGU PAMOJA NA KIZAZI CHANGU WW NDIO MLINZI WANGU,NAJIKINGA KWAKO KUTOKANA NA KILA MABALAA ..PIA NINAJILINDA KWAKO KUTOKANA NA SHARI ZA MAJINI PAMOJA NA VIUMBE WAOVU,KILA AJAE NA SHARI DHIDI YETU WAIJUA YAKE SIRI IVUNJE YAKE DHAMIRI ASIWEZE KUSIMAMA..NAOMBA UNIEPUSHE NA KILA AINA YA HUSDA,UNIHIFADHI MM PAMOJA NA KIZAZI CHANGU HAPA DUNIANI HADI KESHO AKHERA.. ALLAHUMA AMIIN
2026-09-04 02:30:33
4
Duli2 :
Amin
2026-08-30 17:09:30
1
momrukaiyyah momrukaiyyah :
amiin
2026-08-31 10:02:41
1
Samuel :
Jazakallah
2026-09-01 02:42:12
1
25072000rani :
yaa Allah Kila Alie nilidhulimu afya yangu nifungia riski zangu Alie nidhulumia mwanangu Kwa ajili ya uhasidi naomba ushindi tusiwe wenyewe kuvunjikiwa Kwa ajili ya ushirikina wao ya Allah tubainishie Kwa kuwa fedhehesha tuwashuhudie ulimwengu mzima uwavunje na Nia zao mbovu