JAMANI hii nchi hatujawah kupumzik tangu October 29🤣🤣🤣mara Wema kajifungua, punde si punde Zuchu na baby shower hatujakaa Sawa miaka30 ya Bongo flavour na tunaanza kukaa Sawa Dotto Magari kaathirika,Dotto analet vipimo kutoka Zanzibar, mara Kuna mtu katoka kigoma na baiskeri mpaka kawe kwa mwamposa, mara police wamechukua simu ya pipytida mara Nchimbi anatupanga tudai katiba kabla hatujakubali Wema kawa single mother tunaanza kutaharuki Baba Nchimbi kajiuzulu haya tunaamka asubuhi kumbe CCM walimfukuza huyu Mzee sasa ndio nataka kutulia nakuta mwamposa kaangusha mchawi huko Arusha alikua anatoka bariad kwenda mbeya daaa hii kasheshe nayo sijakaa vzur kuna free juma jux🤣🤣🤣 cjakunywa ata chai mauwa sama ni mjamzito😂
2026-08-31 03:57:47
353
Erick msafi :
WAKRISTO WENZANG TUMSIFU YESU KRISTO 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-31 10:56:45
74
pendo😍😍 :
🤣🤣🤣🤣🤣 nishusheee
2026-08-31 07:04:06
0
Mo furniture 👣 :
Happy new year humu ndani
2026-08-31 15:59:11
0
Dalpher 🤎💕 :
Mwamposa nishushe baba😂😂😂
2026-08-30 16:07:36
530
Mariah@77 :
Da pipy Nishushe😂
2026-08-31 15:55:03
0
Nono🫦 :
Dukuduku la nne kasemaje? Sijasikia😂😂🤣
2026-08-31 08:23:00
148
officiallbishoo :
hii ngoma inaitwaje😂😂
2026-08-30 15:50:12
468
MALUME⚽ :
Mwenye T-shirt ya NMB au CRDB aniazime jmn kesho natambulishwa ukweni😁🤝
2026-08-31 07:10:53
100
mom jay²🥰❤️🔥💦 :
😂😂😂Tuliokuja kusoma comment mko wap wenzangu 😂😂😂
2026-08-31 10:40:46
52
nanah collo💸 :
nimechek kwann mpk itepet jmn😅😅
2026-08-30 17:45:52
103
Brizy :
ila dukuduku😄
2026-08-31 05:43:55
3
yusta wa simba :
Brown nishushe baba 🤣🤣🤣🤣
2026-08-30 19:05:04
1
pendo :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nani aje tusikilize vizuri hili dukuduku na huyu kaka
2026-08-31 07:12:21
18
Chugga Lady❤️🦋 :
😂😂😂😂
2026-08-31 11:17:29
12
Young drip🖊️ :
kwenye mihogo hapo umenisaidia dukuduku langu
2026-08-31 07:22:52
11
𝓜𝔀𝓪𝓴𝓱𝓲🐴 :
kesho mapema naichapa🔥😁
2026-08-30 17:27:10
61
chuneer nizzy :
😂😂😂😂hii ndo nchi yangu sasa ninayoijua mimi
2026-08-30 16:50:02
22
To see more videos from user @brown_mwamposa, please go to the Tikwm
homepage.